My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

Hii ndio series yangu bora kabisa duniani yaani utadhani hawaigizi bali ni uhalisia. Hafu napenda tukio wanavyolianzia mbaali. Kama ep 1 S8 Winterfell, inaanza dogo yuko anakimbia nikawa najiuliza nani huyu dogo kumbe wanaonyesha tukio lingine kabisa la Danny kuja Winterfell.
Binafsi nimeiangalia zaidi ya mara kumi
 
Nampango wa kuirudia yote mkuu
 
Kwakweli kama si Red woman kuwasha yale makuni kwa nguvu ya uchawi katika Season 8 na kurahisisha uono kwa Queen Dany na Jon kuua wale deads.

Ser Davos asingemuacha yule Red woman.. alikua anamlia timing tu sababu alikachoma moto kale ka-princess
.

Hii series huniambii kitu naikubali milele
 
Mwenyewe mkuu, changamoto niliyonayo ni kwamba nilipoteza external yangu kwahiyo nimeipoteza, vp unaweza kuwa nayo???
Mkuu sina ila nina mpango wa kudownload episode moja baada ya nyingine. Nataka kuanzia S5 mpaka S8 maana huku ndio kuna kimuhemuhe hujui nani kesho atakufa, the white walkers wanazidi kusogea tu nao wakiclaim utawala wao na kulipa kisasi. Labda mcheki mkuu Da'Vinci
Mwenyewe mkuu, changamoto niliyonayo ni kwamba nilipoteza external yangu kwahiyo nimeipoteza, vp unaweza kuwa nayo???
 
Princess shereen. Yaani karibia Actors wote mm nawafhamu.
Haka katoto na kale ka Lady Lyanna Mommont nawakubali hatari.
 
Hua nachekaga sana S7 ep7 pale wapo dargonpit kwenye kikao Tyrion akasimama kuongea..
We are all here....Euron akamuwahi akasema. Theon i have your sister if you don't submit to me, I kill her.
Tyrion akajibu..I thought we start with Large concern.
Euron akamjibu Why are you talking, your are the the small concern here.
Ukiwa mfupi kila mtu anakudharau
 
Kuna picha inasambaa huko the red priestess akiwa na mwili wa Danny.. so mwendeleze ujao unaweza kuona kafufuliwa. Sema tu hueez tabiri kitu kwa hawa jamaa. Ngoja tuone mwisho wake
Mkuu kwani GoT haijaisha? Mi najua dude limeshaisha
 
Watu mko deep sanaaaaa
 
Ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dogo hapendwi kabisa Hadi kwenye maisha halisi ajili ya huo uigizaji wae
Hiyo ni failure yake kwa kushindwa kuishi vizuri na watu after acting. There is Life after lights, camera and action.
Dogo ameshindwa kuchora mstari.
 
Hiyo ni failure yake kwa kushindwa kuishi vizuri na watu after acting. There is Life after lights, camera and action.
Dogo ameshindwa kuchora mstari.
Hamna yaani chuki wanayomchukiakwenye series ajili ya matendo yake kwa sansa watu waneihamishia kwenye maisha binafsi.Si unaona hata Sercie watu walikua wanamtumia emali za vitisho kisa tu kacheza ana roho mbaya
 
Natamani sana baadhi ya actor waliokuwepo kwenye GOT warudi kwenye House of dragon
Hasahasa deenerys arudi tuone jins house targaryen ilivyokuwa imara mpk ilivyosambaratika

GOT ni bonge moja la series sichoki kuiangalia, ni series ambayo unaweza ukatoa viprequale vingi, kuanzia long night,house of targaryen ukapata series zingine
 
*Inatiwa Prequel.
Wale wapuuzi D&D waliikatisha tu, yaani nilitamani GOT iwe kama isidingo..kika mwaka iendelee maana haichoshi kabisa.
Lakini house of dragons Danny hatokuwepo maana inaanza miaka mingi sana kabla hata ya akina Robert rebellion. Hafu washaanza kuCast waigizaji. Soon wanaenda location
 
Namaanisha arudi hata kwa role nyingine
Story itagusa hadi kwa mad king

Nimeona sehem wanasema wako kwenye mazungumzo na ragnar wa kweny viking
Mpk sasa bado hawajawatangaza waigazaj ila ni mmoja tu ndio ashathibitishwa
 
Sisi tusiolewa kimombo kigumu gumu tunafanyaje sasa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…