My Salute Kwa Wabunge:- That is How We Treat Traitors!!

Hivi mbona hawa Maccm hawamhusishi mwl kuhusu ufisadi,nyara za serikali na mengineyo?Wao wamekalia kumuenzi kwa muungano tu.Kama hayo mengine aliyosimamia wameyavunja hata huu muungano ukivunjika siyo dhambi.
 

Nakushauri acha kumshambulia warioba kama yeye, shambulia Tume... nakingine warioba ni sawa na baba yako mpe heshima yake

Kingine usikalili wenzako ndani ya chama, kwani utajitengenezea uadui na warioba ambaye uji baadaye anaweza hakawa nani na kukwamisha mambo yako

Katika siasa acha kushambulia wazee kabisa ni rahana kubwa.

Me ni hayo tu.
 
W. J. Malecela

Usikasirike ni ukweli kwani mtu akisema baba yako aliwahi kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais just like warioba, ni uongo???? mbona baba yako alitaka serikali 3 hujawahi kumuandika kuwa ni msaliti na majungu mengine ambbayo umempa mzee warioba??? narudia ukitaka kujadili kwa kina suala hili ni lazima kwanza ujadili suala la john malecela na serikali 3, harafu uoanishe ni warioba kwa suala hilo hilo, hii ni ukweli kuwa ukijadili warioba pekee na wewe ni motto wa malecela unaonekana umeegemea upande mmoja. Kwanini Nyerere alitoa jina la malecela kwa kugombea kiti cha urais??? sema yote hayo kwa undani kabisa harafu tuambie usaliti wa warioba; kukasirika hakusaidii



W. J. Malecela
 

Ungemwambia asome hapa akawadanganye kwenye Brog yake huko si huku...https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...chanzo-cha-bunge-kuahirishwa.html#post8981342
 
Wacha ujinamizi ,hivi kwa akili zako haya au hyo rasimu ni mawazo ya Warioba ? zimepita tumengapi kuhusiana na Muungano na zote zimekuja na serikali tatu ,kwa aliyoyakusanya Warioba si mageni kwa Watanzania ,wewe kama unafaidika na urithi ambao hutokana na jasho la walala hoi ,one day yes itawatoea puani jasho lao ,baba kadhulumu na watoto nao pia wadhulumu ,kwa taarifa yako Tanganyika ya leo ni tofauti na ile waliyoiacha wazee wenu ,kama Uccm karibu WaTz wote walikuwa CCM.

Msiwe malimbukeni na hapo bungeni kilichopingwa ni hujuma za CCM na ndio hivyo zimepingwa na mliyoyapanga hayakuwa ,pole sana unasifu usichokifahamu.

Sasa jipimeni vizuri sana ikiwa hapo mmetulizwa je huko kunakoelekewa ? Na huo ujeshi unaojilabu nao ,sidhani kama utamtisha mtu kwani zama za kutishana zimepitwa na wakati UJKT!!! watu wana UJWTZ wametulia tuli . Heshima mliokuwa mkipewa mmeipoteza na haitorudi tena ,Muungano utajadiliwa na serikali tatu ndio hitimisho vyenginevyo mtakufa na donge la roho.
 
Mwalimu alikuwa binadamu. Sifa kubwa ya binadamu ni kujua umekosea wapi na kurekebisha kwa manufaa ya wengi. Ili mwalimu hakuliona na sasa tunatumia pesa nyingi kurekebisha makosa ya mwalimu
 
Hivi mku maana ya rasimu unaifahamu? Amejifichaje nyuma ya rasimu huyo ndugu Warioba? Ama una maana amejificha nyuma ya wananchi?
Kulikuwa na wajumbe 15 kutoka bara na visiwani. Warioba alindika rasimu mwenyewe? Asichokijua huyu jamaa ni kuwa zomea zomea ilikuwa ni kutokana na kukiuka kwa kanuni si Warioba.

Yes wanaweza kulinda muungano wa serikali 2 kwa mabomu ya machozi, mabomu hayo hayakuzuia Russia au Yugoslavia kuparaganyika. Muafaka ni bora kuliko ubabe maana hata Gobachev hakuweza.
Kulazimisha kutavunjilia mbali muungano, wananchi watachukua agenda yao na hapo hakuna control. Itakayotumika ni 'sheria za mwituni' subiri uone muungano unavyosambaratika mikononi mwa JK. Just matter of time.

Muulize Le Mutuz, kwani baba yake Mzee Malecela alitaka serikali ngapi? Je na yeye ni mpuuzi kama hawa anaowaita wapuuzi akina Warioba. Labda aanze kutuambia kuwa mzee wake alikuwa juha kwanza halafu atuambie ya Warioba.
Mzee J.S Malecela alikuwa PM na makamu wa kwanza wa rais kama Warioba, vipi leo Warioba aonekane mbaya wakati ubaya ulianza na John?
 
Nafikiri kilichotokea bungeni jioni hii HUKUKIELEWA waliosimama bungeni ni wabunge wa upinzani na wengine wanaosimamia kanuni walizopitisha.Sita alijaribu kuvunja kanuni kwa kumlazimisha Warioba akabidhi rasimu kabla raisi hajafungua bunge.Raisi anatakiwa na kanuni ahutubie bunge kabla ya Warioba.CCM hawataki sijui kwa nini walipitisha kanuni.

Sasa wewe ufanye uchunguzi na utafiti kabla ya kuja kuropoka hapa

Ushauri tuu,sio poa sana mtu mzima kuropoka.
 
W. J. Malecela

Kama ni kusikika umesikia subiri JK akupe hata uDC, naona unataka recognition ndani ya CCM na Serikali hii, lakni akili yako inakusaliti sana, JF itakusaidiaje???
 

Rubish....
 
Aliyegomewa ni Samwel Sitta sio warioba na wanaogoma wanamtaka JK afike kwanza kufungua Bunge halafu aje Warioba.
 
Hiv ccm wamebemenda akili zetu kiasi gani? tume ya jaji kisanga.....tume ya nyalali na Leo tume ya warioba zote kwa pamoja wananchi wanapendekeza serikali Tatu......hivi Hii haiimanishi chchote jamani? hivi katiba niya ccm au ya watanzania?
 
Rubbish
 
- Sawa sawa ndio maana ninasema subirini kwanza mpaka wale wote tuliowahi kuishi under utwala wa Mwalimu tukiondoka ndio mtavunja kila kitu, not now!! Le Mutuz

Wewe unafikiri kwa ubongo au uti wa mgongo?
sasa nayakumbuka baadhi ya mkapa kuwa kuna baadhi ya watu walipaswa wapewe uti wa mgongo bila ubongo.
miongoni mwao ni wewe unaesema zidumu fikira za nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…