My Salute Kwa Wabunge:- That is How We Treat Traitors!!

Kama vile hutumii akili.Mie nadhani hii rasimu sio mawazo ya Warioba bali ya watanzania walio wengi.Unamuonea Warioba
 
...nielimisheni jamani,tunajaribu kurejesha muungano au tunalinda muungano,maana najua znz ilishajitenga na kujiita nchi huru yenye jeshi,na mfumo mzima wa kiserikali. Tumeweza kuwa na marais wawili, watatu kunatofauti gani na sasa...?
 

Mkuu nilidhani huko CCM wewe ni miongoni mwa watu smart sana lakini leo nimekua dissappointed na wewe.

Kwa hiyo tume za akina Nyalali,Jaji Kisanga na hata mzee wako Malecela unawachukuliaje?
 

Wabunge kama huyo kijana aliyeshinda Kalenga, kweli wanaweza kukupa la kukumbatia? Ni tatizo na hata hapo. Matatizo makubwa ya Bunge la Katiba ni wabunge wa majimbo ambao CCM inaongoza kwa wingi. Quality ya brain yao ni mbaya! Poor!
 
ww una haki ya kushabikia kwasababu baba yako alikuwepo na alishirikishwa na pengine mmeacha kulala nyumba za tembe kwa sababu ya huo muungano.Sisi wengine baba zetu walikuwepo lakini baba yako na wenzake,wakawawekea pazia jeusi,ghafla wakasikia sisi sio watanganyika tena kuanzia leo,bali tutakuwa watanzania.Hawakuweza kuhoji kwasababu ya nature ya utawala uliokuwapo,sisi watoto na wajukuu zao tunahoji na kuafakari kama huo muungano(ambao ni union without unity)una maslahi ama laa?Ni haki ya msingi,ipo na itaendelea kuwepo.
 
- Muungano hauwezi kufa mtakufa nyie kwanza Serikali 3 labda Dunia nyingine sio hii!1

Le Mutuz
Mzee Malecela na kundi la G55 hawakufa, hatutarajii tufe hadi kwanza muasisi wake afe kwa serikali 3.

Le Mutuz, unaposema Warioba ametunga maoni yake unajisahau na kumtukuna mzazi wako. Kama si laana sijui ni nini.

Serikali 3 ni lazima, kama hamtaki kwa kutumwa na Lumumba (B7) tutairudisha wenyewe.

Tumia muda huu kwenda kumuuliza baba yako, akikupa majibu usiyoridhika nayo mwambie ni mpuuzi halafu njoo hapa utueleze habari za Warioba. Warioba alichofanya ni kukusanya mawazo yale yale ya baba yako, sijui unamweka wapi mzee Malecela Yarabi!
Usimtie aibu mzee wetu ana heshima zake.

Aibu unayompa Mzee Malecela ni 2
1. Kwanza unamtusi kuhusu serikali 3 alizoasisi na G55 hadi akaitwa 'mhuni'
2. Kwamba wewe ni mtoto wake unayeishi naye ambaye una ukaribu wa kumuuliza utakacho na hujafanya hivyo.
 
Huyu jamaa, mimi nashindwa kumuelewa, hivi ni nani kamwambia kuwa wanaodai Tanganyika irudi katika enzi yake, wanataka kuvunja muungano?
Hebu William, njoo ueleze ni wapi hao wanaodai Tanganyika!!! wamesema kuwa wanataka kuvunja muungano huu uliopo
 
Lengo langu ni kutaka kujuwa ni Mwalimu gani huyo ambae hayupo laki bado anahusika na Mustakbali wa waliokuwepo.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Kweli kabisa Mkuu, marehemu anahusikaje na kuamualia mambo ya walio hai?
 
imevunjika USSR iliyounganishwa kisanii kama tz! Na Imeungana Germany iliyotenganishwa kisanii!
 
William....:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 

Pia baba yake William Mzee Malecela ndie alitaka kuvunja muungano kwa kutumia kundi la G55kama sijakosea,hadi Kambarage akaingilia kati na kumtugia kitabu,mbona William hakumsakama baba yake,tafadhali William acha uhuni,Warioba ni mjumbe tu,bali baba yako alikuwa na sababu zake,alitaka uraisi na kama kumsema umusema baba yako kwa kutaka kuuvunja muungano na sio Warioba.
 

William katika hilo kundi umesahau au umeacha makusudi jina moja nalo ni jina la Mzee Malecela,hadi alitungiwa kitabu,ama kweli nyani haoni kundule,Warioba sio msaliti hata siku moja,msaliti unaye mwenyewe.Acha kutuudhi kwa unafiki wako,kama unataka ajira CCM na serikali yake omba tu utapewa na sikuwapaka watu matope,tena watu ambao wamaifanyia nchi hii makubwa,sijui wewe ni nani hadi unajisibu kwa huu ujinga.
 
Ukiongea pumba hazikatishi Le Mutuz, jaribu tena baadaye; hoja ya msingi ni serikali moja kama hawataki wazanzibar basi 3 hazikwepeki
 
Yaani hili jamaa ni kubwa lakini kichwani hamna kitu kabisa, mbona huyo mwenye jina lako la mbele unayemuita eti baba yako akili anazo! Au ndio kitanda hakizai haramu? Uweu unafuatilia mambo kwanza unaelewa wewe mvuvi wa ughaibuni ukija hapa unajiita baharia, acha kuishi kwa kutegemea vikra za kuokota kwa sababu tu unataka wakione ni mwenzao wakupe fursa hata kama elimu yenyewe ni shule ya kata na mtungi tu. jifunze kuangalia mambo na kuuliza kwana kama hujaelewa na si kukurupuka tu na kupost vitu vya ovyo pasipo hata kujua maana ya herufi kubwa na ndogo.
 
upo isingizi wa pono, kwani wewe tu ndio unaangalia hili bunge la katiba. Usitafunie watu kama huna meno.

 
yaani siku hizi watu wana vyotaka madaraka, wapo hata tayari kuvunjiwa yai au kubadili jinsia
 
Sasa mnaenda mbali mno, tuamini tu kuwa ni mtoto wake Malecela. Kuna wakati mzazi unaweza kuwa na akili nzuri lakini bahati mbaya mtoto wa hivi.

Nilishawahi kuuliza hapa kama huyu ni mtoto wa kweli wa Mzee John au kasingiziwa ?

Hoja za huyu mtu ni ya kiwango cha chini. Kilichogemewa ni utaratibu kukiukwa si hoja za Warioba, zaidi Warioba ni mwana CCM;
 
Sasa mnaenda mbali mno, tuamini tu kuwa ni mtoto wake Malecela. Kuna wakati mzazi unaweza kuwa na akili nzuri lakini bahati mbaya mtoto wa hivi.

- Kiongozi yoyote aliyeongoza chini ya Mwalimu ambaye leo anadai Serikali 3 ni msaliti ingekwua China unajua dawa yao!!

Le Mutuz
 

- Akili yako ni ndogo sana ndio maana unajisema mwenyewe, nasema hivi Kiongozi yoyote aliyekuwa chini ya Mwalimu na ambaye leo anadai kuvunja Muungano ni msaliti na wewe pia wala hujui unalisema maana wenzako wanataka Salim awe Rais wa shirikisho wale bata, wewe unataka nini? mburulazzz!1

Le Mutuz
 


- Mburulazzzzz wenzako wanalilia kuvunja muungano wapate madaraka wewe unalilia nini masikini wa mungu wewe kweli akili ni nywele wewe huna kabisa sijui hata huyo baba yako yukoje kichwani maana kama wewe ni zero mzazi wako je?

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…