Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Kama vile hutumii akili.Mie nadhani hii rasimu sio mawazo ya Warioba bali ya watanzania walio wengi.Unamuonea Warioba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz
Mkuu mbona sikuelewi!! Kwani issue ni Serikali tatu ndiyo imesababisha Wabunge wapige makelele? Hebu jiridhishe upya.. Kilichopigwa kelele ni kutengua KANUNI ili Warioba aanze kuwasilisha then Rais JK aje azindue kwa lengo la kuja kuweka mambo sawa maana wanajua Wairoba atachafua hali ya hewa.. Huo mpango watu wameshaushtukia ndiyo maana watu wamekomaa Warioba asisome mpaka JK azindue Bunge...
Mimi nashangaa sana CCM kuifanya nchi hii kama ya kwao peke yao. Hayo maoni si ya Warioba ni maoni ya wananchi na hii Tume si ya kwanza kuja na mapendekezo haya ya Serikali tatu.. Ni tume ngapi zimeundwa na kutoa mependekezo ya Serikali 3. Naamini na sitaki kukubaliana na wewe Nyerere hakuwa rigid kihivyo na msitumie kichaka cha Nyerere kutetea serikali mbili..Mambo mangapi ya msingi ambayo Nyerere aliyasimamia mmeyapuuza na kuyazika.. Leo kwenye serikali tatu mnajifanya mnakumbuka Nyerere...
Nawapongeza Wabunge kwa kutumia fursa na huo ndiyo uwe utaratibu hakuna kuburuzwa kijinga... Nchi hii ni ya kwetu sote.. Mmeshindwa miaka 50 acha watanzania wajitete na kuendeleza nchi yao...
ww una haki ya kushabikia kwasababu baba yako alikuwepo na alishirikishwa na pengine mmeacha kulala nyumba za tembe kwa sababu ya huo muungano.Sisi wengine baba zetu walikuwepo lakini baba yako na wenzake,wakawawekea pazia jeusi,ghafla wakasikia sisi sio watanganyika tena kuanzia leo,bali tutakuwa watanzania.Hawakuweza kuhoji kwasababu ya nature ya utawala uliokuwapo,sisi watoto na wajukuu zao tunahoji na kuafakari kama huo muungano(ambao ni union without unity)una maslahi ama laa?Ni haki ya msingi,ipo na itaendelea kuwepo.- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz
Mzee Malecela na kundi la G55 hawakufa, hatutarajii tufe hadi kwanza muasisi wake afe kwa serikali 3.- Muungano hauwezi kufa mtakufa nyie kwanza Serikali 3 labda Dunia nyingine sio hii!1
Le Mutuz
Kweli kabisa Mkuu, marehemu anahusikaje na kuamualia mambo ya walio hai?Lengo langu ni kutaka kujuwa ni Mwalimu gani huyo ambae hayupo laki bado anahusika na Mustakbali wa waliokuwepo.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
imevunjika USSR iliyounganishwa kisanii kama tz! Na Imeungana Germany iliyotenganishwa kisanii!- Wale wanaotaka Serikali 3 nia na madhumuni yao ni kuvunja Muungano, alianza Jumbe, akaja Sefu, sasa wao wasaliti I mean ni TRAITORS hawana jipya badala ya kutuletea mawazo mapya wanatuletea habari za kuvunja kila kitu, hapana sasa leo ndio wamejionea kwamba sio wananchi wote wa Tanzania ni wajinga wa kuyumbishwa yumbishwa na watu wachache wenye tamaa ya madaraka!! Le Mutuz
:juggle: :flypig: :kev:😛layball::llama::llama::llama::violin::deadhorse::llama::deadhorse::llama::llama::bump2::bump2::flypig::tea::hippie::msela::msela::shetani::majani7:.......Huu ni mtazamo wako binafsi.. usimsingizie mwalimu wala Warioba... warioba hakujichagua kuwa mwenyekiti wa tume.. la sivyo mlaumu aliyemchagua... Warioba hakuandika rasimu peke yake alipita kwa wananchi na hayo ndio matakwa ya wananchi.... watanzania wa leo sio wale wa mika ya nyuma .. ni watafiti ni watu wasikubali kuburuzwa sio wanaoamuliwa .... kumlaumu warioba ni kumuonea... maneno yako uliyoyatoa pamoja na kejeli na matusi kwa Warioba ni ukosefu wa adabu na heshima kwa wakubwa ... umri wa Warioba unafanana na Mzee JS Malecela sio vizuri kutukanaa matusi ya kejeli kwa watu waliokuzidi umri na hasa ukizingatia wanaumri sawa na baba yako...
- Wale wanaotaka Serikali 3 nia na madhumuni yao ni kuvunja Muungano, alianza Jumbe, akaja Sefu, sasa wao wasaliti I mean ni TRAITORS hawana jipya badala ya kutuletea mawazo mapya wanatuletea habari za kuvunja kila kitu, hapana sasa leo ndio wamejionea kwamba sio wananchi wote wa Tanzania ni wajinga wa kuyumbishwa yumbishwa na watu wachache wenye tamaa ya madaraka!! Le Mutuz
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz
Nilishawahi kuuliza hapa kama huyu ni mtoto wa kweli wa Mzee John au kasingiziwa ?
Hoja za huyu mtu ni ya kiwango cha chini. Kilichogemewa ni utaratibu kukiukwa si hoja za Warioba, zaidi Warioba ni mwana CCM;
Sasa mnaenda mbali mno, tuamini tu kuwa ni mtoto wake Malecela. Kuna wakati mzazi unaweza kuwa na akili nzuri lakini bahati mbaya mtoto wa hivi.
Yaani hili jamaa ni kubwa lakini kichwani hamna kitu kabisa, mbona huyo mwenye jina lako la mbele unayemuita eti baba yako akili anazo! Au ndio kitanda hakizai haramu? Uweu unafuatilia mambo kwanza unaelewa wewe mvuvi wa ughaibuni ukija hapa unajiita baharia, acha kuishi kwa kutegemea vikra za kuokota kwa sababu tu unataka wakione ni mwenzao wakupe fursa hata kama elimu yenyewe ni shule ya kata na mtungi tu. jifunze kuangalia mambo na kuuliza kwana kama hujaelewa na si kukurupuka tu na kupost vitu vya ovyo pasipo hata kujua maana ya herufi kubwa na ndogo.
Mzee Malecela na kundi la G55 hawakufa, hatutarajii tufe hadi kwanza muasisi wake afe kwa serikali 3.
Le Mutuz, unaposema Warioba ametunga maoni yake unajisahau na kumtukuna mzazi wako. Kama si laana sijui ni nini.
Serikali 3 ni lazima, kama hamtaki kwa kutumwa na Lumumba (B7) tutairudisha wenyewe.
Tumia muda huu kwenda kumuuliza baba yako, akikupa majibu usiyoridhika nayo mwambie ni mpuuzi halafu njoo hapa utueleze habari za Warioba. Warioba alichofanya ni kukusanya mawazo yale yale ya baba yako, sijui unamweka wapi mzee Malecela Yarabi!
Usimtie aibu mzee wetu ana heshima zake.
Aibu unayompa Mzee Malecela ni 2
1. Kwanza unamtusi kuhusu serikali 3 alizoasisi na G55 hadi akaitwa 'mhuni'
2. Kwamba wewe ni mtoto wake unayeishi naye ambaye una ukaribu wa kumuuliza utakacho na hujafanya hivyo.