My Salute Kwa Wabunge:- That is How We Treat Traitors!!

- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

Kaka uimara wa muungano na muungano wa kweli ni serikali moja,taifa moja na nchi moja......Hiyo ndiyo iliyokuwa way foward dream ya Baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere!!

Hao wabunge wako unaowasifia wanasimamia wapi?. Je,ni "serikali mbili za CCM zilizoboreshwa kama mnavyosema?"

If so,then tukae makao wa kugawana fito kwa sababu hakuna muungano tena!!
 
Rudi New York ukabebe maboksi wewe!!!
Kwani huyu anapajua NewYork? Hajui kuwa Marekani ni muungano wa nchi zaidi ya 50 kila nchi ikiwa jimbo lenye serikali yake, bunge lake, mahakama yake na gavana wake? Kuna nchi ya Zanzibar (kwa vigezo vyote) iliyojiunga na nchi gani kutengeneza muungano? Je kutaka nchi ya Tanganyika ailiyojificha ndani ya muungani iibuliwe ili kuwe na muungano wa usawa ni kuvunja muungano? Dhana mbovu hii ya CCM kuwa muungano ni wa serikali 2 tu ndio unataka kuivuruga nchi hii kwa sasa. Wala si vema kumsingizia Nyerere. Alikuwa na zama zake na mema yake ambayo si msahafu kuwa eti ni dhambi kuyabadilisha. Wananchi wanataka sana Muungano lakini wa serikali tatu. Kinyume na hapo utakuwa mwisho wa CCM na utawala wake.
 
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

Kaka muda mwngine utumie akili na sio kama zuzu au mtambo,Warioba alienda kufanya kazi aliotumwa na Jamhuri na sio wajomba au ukoo wako,unataka alete majib ya ndio wakat aliowahoji wamesema sio.
Tumia akili
 
Nina wasiwasi kuwa huenda Bwn. W.J.Malecela huongei na baba yako Mzee John Malecela (One of the most respected elders) Mwambie akupe historia ya Tanganyika na maoni yake kwani najua kuwa wakati fulani alikuwa mtetezi wa kuibuliwa serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano. Ongea naye, atakueleza kuwa serikali ya Tanganyika kuwepo sio kuvunja Muungano!
 
- Wale wanaotaka Serikali 3 nia na madhumuni yao ni kuvunja Muungano, alianza Jumbe, akaja Sefu, sasa wao wasaliti I mean ni TRAITORS hawana jipya badala ya kutuletea mawazo mapya wanatuletea habari za kuvunja kila kitu, hapana sasa leo ndio wamejionea kwamba sio wananchi wote wa Tanzania ni wajinga wa kuyumbishwa yumbishwa na watu wachache wenye tamaa ya madaraka!! Le Mutuz

Wewe kweli hujui ukisemacho! Unajua kwa nini Mwalimu alitaka kumzapa makofi Chigwemisye? Akaishia kumwamdikia kitabu ni yeyekuwaunga mkono G55. Hivyo unapowaita akina Jumbe wasaliti basi mchanganye na Tingatinga kwa kutumia hiyo theory yako.
Lakini Willy, huyo Warioba mnayemshambulia hivyo sii alikuwa anakusanya maoni? Mlitaka akusanye maoni na kamati yake iandike tofauti kama mlivyozoea?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mkuu W. J. Malecela naona leo umechemsha kidogo na huenda umegundua ulikochemsha.

Ushauri wangu ni kwamba ukija na ku apologize itakuwa ni kwa heshima yako mkuu!
 
Last edited by a moderator:
- Leo nimejionea kwa
macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka
tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa
letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna
Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri,
kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa
viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa
leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu
kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano,
halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga
mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na
kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo
nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT
nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE
WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA
JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA
ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI
HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA
PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE
WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE
MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE
WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA
WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU
WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA
SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA
WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

Hivi we GAMBA.....tena usiniharibie Kwaresma yangu Aliye kwambia kutaka serikali tatu ndo kuvunja hicho kimuungano chenu ni nani?
 
- he! He! He! Yaani unanifukuza kwa sababu ya mawazo yangu tu, sasa nyie mkishika nji itakuwaje nyie chadema? Ha! Ha! Le mutuz

mbona una mawazo finyu sana ndugu yangu? Hiyo rasimu ya katiba ni mawazo ya warioba? Nilifikiri ni mawazo ya watanzania waliojitokeza kutoa maoni yao. Unamuongelea mzee warioba as if, alijifungia chumbani kwake na kuanza kujitungia hiyo rasimu. Kama unataka kulaumu maoni yale ya rasimu ya katiba laumu watanzania walioyatoa? Au we ulitakaje? Ulitaka ayabadilishe? Ajiandikie unayotaka wewe?? Then what was the point of spending billions of money za walipa kodi kwaajili ya kazi hiyo? Si mngekaa tu wenyewe lumumba mkajitungia mnayoyataka? Mbona mmesoma lakini hamuelimiki? Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani mnakera kweli sio siri.
 
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

Kumbe hujui mtei kamuaidi uenyekiti cdm mke waryoba ni mchaga anaunasaba na mtei waryoba janga la taifa Tanzania
 
Yaani unasifia huu ujinga uliofanywa na maccm wenzako? Mawazo ya wananchi mnataka kuyachakachua waziwazi bila aibu! Nimeamini chini ya katiba ya ccm hakuna katiba mpya bali ni maigizo matupu!

Mkitaka kuvunja muungano na huyo msaliti wenu Waryoba ngojeni sisi watoto Wa nyerere tufe
 
Mbele ya jamii Mh. Lusinde mbunge wa mtera anaonekana hamnazo lakini jimboni Mtera aliliangusha Tinga Tinga Malecela, kweli mzee Tingatinga namheshimu sana na nilikuwa najiuliza ilikuaje akaangukia pua, sasa nimepata jibu kama Le mutuz ni miongoni mwa team Tingatinga na pamoja na exposure aliyopata ughahibuni lkn uelewa wake ndio huu anaouonyesha humu JF acha Lusinde a wadhalilishe tu. Maana mnastahili kudhalilishwa, Le mutuz kwa elimu uliyonayo (na kama kweli elimu ndio kipimo cha ufahamu) hukuwa mtu wa kumnanga Mzee Warioba. Naamini una ajenda ya siri c bure
 
Sitaki kusema maneno mengi ila united kingdom kuna waziri mkuu wa scotland
Waziri mkuu wa england
President wa ireland
Na juu hao kuna Queen ambaye pia anatambuliwa Australia na Newzeland.
Sio kambo la ajab hata kidogo kuwa na marais hata kumi kama nchi zilixoungana ni 10
UK wao ni ufalme. Na mfalme ni wa wote
Nyerere mawazo yake yalilenga kuifanya znz kilema wa uchumi
Alikuwepo wakati chama chake kina wakati mgumu kule znz uchahuzi wa kwanza
Kuna watu waliloteza maisha kule
Kuna watu walisingiziwa uhaini kule
Chama chake kule kiliunda makundi ya janjaweed
Aliyaona haya
Aliona jumuia ya madola ikifanya juhudi za kufanya mapatano
Aliona juhudi hizo zikitiea kapuni na chama chake
Hakika hakuwahi kufunua mdomo wake kukemea ukiukwaji wa haki za watu znz.
Nyerere ndio sababu ya wa znz kuupinga muungano wake wa serikali 2.
Mwisho ni kuwa salam kwa nyerere ni kuwa hakuna muungano wa nchi mbili wenye serikali mbili . Huo unaitwa shirikisho au jumuia
Tusibabaishane.
Wanaotaka serikali mbili wana ajenda ya udini na sio utaifa
 
katika nchi yoyote au tuseme UK Queen ndio supreme , ndio wana fuata Pm wa UK, wa scotland anaitwa First Minister sio PM, huyo President unaye muongelea ni wa Ireland haipo kwenye Muungano, walio kwenye Muungano wa Kinguvu ni North Ireland, Wales na jua wa Bunge, kiongozi wao hata simjui maana hana kelele au hayupo, Kwa Bongo kwa sababu hatuna King au Queen, basi President ndio anatakiwa kuwa moja na ndio awe supreme, hao wengine utawapa majina au cheo unacho penda lakini sio Raisi? Sema Maka wa Raisi Bara na Makamu wa Raisi Visiwani
 
- leo nimejionea kwa macho na masikio yangu wabunge wanaomkumbuka baba wa taifa mwalimu nyerere, sikutegemea kua bado tuna wabunge wenye uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili taifa. Kumbe bado tunao wabunge wenye uchungu na taifa letu, kumbe bado tunao wabunge wenye kuelewa kwamba duniani hakuna serikali ya jamhuri yenye marais 3. - warioba alipoteuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha jamhuri, kwamba ataulinda muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya mwalimu muasisi wa muungano, sasa leo mwalimu hayupo warioba amebadilika hataki tena muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa mwalimu was wrong na muungano, halafuhajawahi kutuambia hili taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za jkt nilipokuwa oljoro arusha kwenye "operation tekeleza", - jamani wale wote kama warioba mnaotaka kuvunja muungano subiri sisi wote tuliopitia jkt tusiwepo, ndio mtapitisha upuuzi wenu wa kuvunja kila kitu: Warioba alikuw waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais asiyetaka muungano lakini hakusema hata siku moja, anakuja kusema leo tena kwa kujificha nyuma ya pazia la rasimu ya katiba, leo amejionea mwenyewe kwamba sio wabunge wote ni sawa wale wananchi aliokuwa anawaburuza kwenye vikao vyake kule mikoani. - kutaka serikali 3 ni kuvunja muungano kwa kiongozi yoyote wa taifa aliyeapishwa na rais kudai haya ni usaliti, hengereni sana wabunge wote mliosimama kidete leo, mtalipwa na mungu wa mbinguni tu warioba na kundi lake mtalipwa hapa hapa duniani kwa kutaka kutuvuruga sisi wananchi wa tanzania, mshindwe na mleeegeeee wote wasaliti wakubwa wa mwalimu baba wa taifa!! Le mutuz

sikujui ila it looks like this comment comes from the most stupid man on jf
 
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

Kubwa zima unajifanya hamnazo? Sasa unaongea nini? Au umetoka kubugia viroba?
 
.... Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, ....
Lini na wapi Waryoba alisema hataki muungano? Si kapendekeza muungano wa s3 ?
 
Back
Top Bottom