Heheheee aliwahi hadi akajiona binti mfalme wa Bagamoyo...unafa' mchezo na dedikesheniMwalimu wewe je?
Mwalimu wewe je?
Heheheheee umeanza uchokozi sasa eeh!?Bee hebu tupe ma-experience yako, hujawahi kuandikiwa kwani dedication?
Kiongozi mbona wamtisha hivyo? kwani we hujawi shusha mistari?
Mbu,
huwa unanifurahisha sana na ujumbe kwa njia ya picha. Ha ha ha ....kajitosa lakini mmmhhh
Heheheheee umeanza uchokozi sasa eeh!?
Hizi ni dalili tosha kuna kidume tayari kiliishawahi kukuandikia dedication tena zile za akina Boyz 2 Men....lolHeheheheee umeanza uchokozi sasa eeh!?
Hizi ni dalili tosha kuna kidume tayari kiliishawahi kukuandikia dedication tena zile za akina Boyz 2 Men....lol
Hahahaha!!! Gee umehamia kwangu.....:lol:Finest wewe dedication zako zillichukuliwaje?
Mimi nilikuwa natuma dedication nyimbo za Gospel dada akipata upako kupitia nyimbo ananitafuta....Finest wewe dedication zako zillichukuliwaje?
Hahahaha!!! Gee umehamia kwangu.....:lol:
Mimi nilikuwa natuma dedication nyimbo za Gospel dada akipata upako kupitia nyimbo ananitafuta....
Gee itakosekanaje wajameni kakini...He he he Bee we mwaga tu.
Nakuaminia ati
Kijana umesemaje?...lolHizi ni dalili tosha kuna kidume tayari kiliishawahi kukuandikia dedication tena zile za akina Boyz 2 Men....lol
Aisee umenikumbusha kipindi ambapo makundi kama Boyz 2 Men, New Edition na wanamuziki wengineo walipokuwa wanatamba na love songs kuna kipindi zile cassettes zao zilikuwa zinakuja na lyrics zake kabisa zimeandikwa basi kidume unajipinda unachukua baadhi ya mistari unaandika unamtumia binti.....binti alikuwa hapindui hata kidogo..:lol:Aaaa wapi!
Labda kama hizo gospel kaziimba Celine Dion ....π
Gee itakosekanaje wajameni kakini...
Yote tisa kumi kuna moja kabla hajamaliza mi nikasinzia kwa utamu na hapa ukumbuke kuwa nilikuwa na tatizo la kutopata usingizi.....daaah
kama ulivyosema aisee dedication ikitoka kwa unayemfeel daaah.....
Zipo kadhaa bana na zote nimezihifadhi
And hey hey 'we even have our theme song'
usiniulize ni upi maana sitakuambia Gee....lol
Aisee umenikumbusha kipindi ambapo makundi kama Boyz 2 Men, New Edition na wanamuziki wengineo walipokuwa wanatamba na love songs kuna kipindi zile cassettes zao zilikuwa zinakuja na lyrics zake kabisa zimeandikwa basi kidume unajipinda unachukua baadhi ya mistari unaandika unamtumia binti.....binti alikuwa hapindui hata kidogo..:lol: