my special dedication to my Wife to be

my special dedication to my Wife to be

good one...naomba na yeye ajue, yasiishie jf
 
Mbu,

huwa unanifurahisha sana na ujumbe kwa njia ya picha. Ha ha ha ....kajitosa lakini mmmhhh
 
Mwalimu wewe je?

Mimi si hiyo nishasema .....nilijiona kama Queen of Bagamoyo and Msoga-lol

Ila ninachoweza kusema, hizi dedication akikuletea mtu unaem-feel unapata hisia nzuri. Ila wakileta watu huna mpango nao unaona wanakuzingua tu. Kwa mie mra huwa naona "ushambaaa" .....kumbe kisa siwa-feel.

😀
 
Kiongozi mbona wamtisha hivyo? kwani we hujawi shusha mistari?

Mbu,

huwa unanifurahisha sana na ujumbe kwa njia ya picha. Ha ha ha ....kajitosa lakini mmmhhh

....lol.....yangu macho, asikose kukodisha na matarumbeta ...
cartoon-trumpeter-process-s135x132.gif
..!!!
 
He he he Bee we mwaga tu.

Nakuaminia ati
Gee itakosekanaje wajameni kakini...
Yote tisa kumi kuna moja kabla hajamaliza mi nikasinzia kwa utamu na hapa ukumbuke kuwa nilikuwa na tatizo la kutopata usingizi.....daaah

kama ulivyosema aisee dedication ikitoka kwa unayemfeel daaah.....
Zipo kadhaa bana na zote nimezihifadhi

And hey hey 'we even have our theme song'

usiniulize ni upi maana sitakuambia Gee....lol
 
Hizi ni dalili tosha kuna kidume tayari kiliishawahi kukuandikia dedication tena zile za akina Boyz 2 Men....lol
Kijana umesemaje?...lol
Dedication za ''dume'' ni balaaa....ww itakubidi ukasomee twisheni kwa 'sheki spia'
Hahahaaaa
 
Aaaa wapi!

Labda kama hizo gospel kaziimba Celine Dion ....😛
Aisee umenikumbusha kipindi ambapo makundi kama Boyz 2 Men, New Edition na wanamuziki wengineo walipokuwa wanatamba na love songs kuna kipindi zile cassettes zao zilikuwa zinakuja na lyrics zake kabisa zimeandikwa basi kidume unajipinda unachukua baadhi ya mistari unaandika unamtumia binti.....binti alikuwa hapindui hata kidogo..:lol:
 
Gee itakosekanaje wajameni kakini...
Yote tisa kumi kuna moja kabla hajamaliza mi nikasinzia kwa utamu na hapa ukumbuke kuwa nilikuwa na tatizo la kutopata usingizi.....daaah

kama ulivyosema aisee dedication ikitoka kwa unayemfeel daaah.....
Zipo kadhaa bana na zote nimezihifadhi

And hey hey 'we even have our theme song'

usiniulize ni upi maana sitakuambia Gee....lol

Duh! wewe ni ligi nyengine....huh! Si mchezo..

Umenipa changamoto hapa.....sikubali hata kidogo. lol
 
  • Thanks
Reactions: bht
Aisee umenikumbusha kipindi ambapo makundi kama Boyz 2 Men, New Edition na wanamuziki wengineo walipokuwa wanatamba na love songs kuna kipindi zile cassettes zao zilikuwa zinakuja na lyrics zake kabisa zimeandikwa basi kidume unajipinda unachukua baadhi ya mistari unaandika unamtumia binti.....binti alikuwa hapindui hata kidogo..:lol:

Ha ha ha .....asipopindua ndo inakuwaje vile? 😛
 
....mapenzi! aaah, mapenzi haswa ni kujitia kengeza makusudi!
nawaonea huruma sana wanaoanza kupenda....

...maneno yoooote hayo ya jpinduzi ni kwasababu tu yeye mwenyewe kwa makusudi na akili yake
timamu ameamua kufikiria na kujiaminisha hivyo japo kwa uhalisia si kweli hata kidogo.
pheewww,
....hebu ni myuti mbu mie...yangu yananishinda!
 
Mbu

si kweli hata kidogo umejauje?

Hebu lete ufundi kwanza
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom