The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hahahaha!!! Sisi tulikuwa tunaenda vizuri Mbu amekuja amefukunyua mawebusaiti ya madedikesheni mwishowe sasa aje anipeperushie ndege wangu Gaijin...lol huyu Mbu hana hata dogo lohh....:lol:Na mie ukitaja Msoga napata picha ya Ridhwan na "ujanja wake wa mjini"...........yaaaakkk :A S embarassed:
Hahahaha!!! Sisi tulikuwa tunaenda vizuri Mbu amekuja amefukunyua mawebusaiti ya madedikesheni mwishowe sasa aje anipeperushie ndege wangu Gaijin...lol huyu Mbu hana hata dogo lohh....:lol:
Mnamuonea tu.
Watu kila asubuhi wanatubandikia nyimbo wakisema ni ujumbe kwa wake/wapenzi wao. Kosa lake hajaweka source tu labda
HAHAHAHAHAHAH!....yaaani nimuwekee lyrics soulmate hapa halafu chini niweke source Ali Kiba?
hapana bana, uanaume ni pamoja na kutunisha misuli hata kama kakifua kenyewe ni kama kidali cha kuku!
Hahahaha!!! Sisi tulikuwa tunaenda vizuri Mbu amekuja amefukunyua mawebusaiti ya madedikesheni mwishowe sasa aje anipeperushie ndege wangu Gaijin...lol huyu Mbu hana hata dogo lohh....:lol:
Mbu kafuja ....itabidi tusubiri opportunity nyengine. Maana hii ishaenda arijojo lol
Watu wa looongiii utawajua tu!
Mbu ushaniharibia kwa Gaijin kamanda maana sasa hivi Gee nikimtumia dedikesheni atadai source bora dedikesheni angekuwa anataka ya kiswahili hata niki kopi pesti aki-search google kuipata itakuwa mbinde...sasa yeye anataka dedikesheni za Kiingereza sasa chimbo langu Mbu umeliweka hadharani mambo yameishaharibika....Gaijin akijaribu ku-google dedikesheni niliyomtumia anapata chimbo langu kinachofuata ni kibuti.....:lol:
HAHAHAHAHAHAH!....yaaani nimuwekee lyrics soulmate hapa halafu chini niweke source Ali Kiba?
hapana bana, uanaume ni pamoja na kutunisha misuli hata kama kakifua kenyewe ni kama kidali cha kuku!
lol,....hebu cheki hii website;
Love Letter Sample
au,
I Miss You :: Love Letters Dating Email Relationships
au,
nk nk nk....
sasa mtu kama huyu akikutana na binti anayechipukia, asiyejua
maneno na vitendo ni vitu viwili tofauti....si atanasa?
jamani wazazi wenzangu, Actions Speak Louder than Words!
tuwaongoze binti zetu wasirubuniwe jamani eee!
Unashindwa kuelewa,sikumtumia mtu yoyote ila niliweka kwa anayetaka ajisevie na wala si vinginevyo sema tu sikuweka source ndio tatizo langu!lol,....hebu cheki hii website;
Love Letter Sample
au,
I Miss You :: Love Letters Dating Email Relationships
au,
nk nk nk....
sasa mtu kama huyu akikutana na binti anayechipukia, asiyejua
maneno na vitendo ni vitu viwili tofauti....si atanasa?
jamani wazazi wenzangu, Actions Speak Louder than Words!
tuwaongoze binti zetu wasirubuniwe jamani eee!
Unashindwa kuelewa,sikumtumia mtu yoyote ila niliweka kwa anayetaka ajisevie na wala si vinginevyo sema tu sikuweka source ndio tatizo langu!
[SIZE=-1]To My Beloved ...............[/SIZE][SIZE=-1]
. I miss you so much.
[/SIZE]
[TABLE="width: 215, align: right"]
[TR]
[TD][SIZE=-1]Love always,
Jpinduzi[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tatizo umeshindwa kuelewa nilichomaanisha au kwakuwa sikuweka source?Watu wanakuwa wagumu sana!sikumtaja mtu ila niliweka kwa yeyote anayependa ajisevie na wala si vinginevyo!
Jpinduzi
Usikonde wala nini. Upo juu. Mimi mmoja nimekuelewa sana tu wala sijaona ubaya katika ulolitenda.
...lol...hiyo 'saini' aliyomwaga hapo juu tayari kajikubalisha kuubeba msalaba huu,
acha asulubiwe kwanza...
Hii Poster imefutwa au ni mimi tu ..?
sioni kitu zaidi ya exclamation mark "!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"
Imefutwa lakini imo katika links alizozileta Mbu.
Wamemwambia madedikesheni yake ni copy and paste jamaa kakasirika kafuta, wakati karibu na wote huleta madedikesheni ya kuchukua pahala (@-@)
Natabia ya kuruka page looooohh
umenifanya nrudi nyuma kusoma nimecheka kweli..
Gaijini we mchochezi kweli
nimeona jinsi ulivyokuwa unampamp Mbu naye
hachoki kumwaga mambo ..... JF kuna raha kwa kweli..
hahaahah
Jamaa kajitahidi lakini
Hopeful alielewa tu alicho copy basi....
He he he we acha tu. Maana Mbu hapigiwi anacheza, jee umpe mdundo?
Lakini kusema kweli mie nimeona poa tu, copy paste coz poem langu la kufoka foka ndo linazidi kupanda chati! π
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

:lol::lol::lol::lol: Jpinduzi kafuta dedication khaaaaa...hahahaha Mbu usije tena MMU....Mbu
ngoma zote kafunga kibebwe na mduara alikuwa kati ..
kanichekesha kweli na link zote kakupatia ...
Hata mi sjaona tatizo kwa kweli , yote kumi mradi
ujumbe umefika kwa mwali . Wasikutane to ana kwa ana basi..
mtu anaweza apate magonjwa ya moyo bure. .........
Raha ya kutongoza.