My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

Mtoto ni wako
Yaani Kati ya wotee waliopiga wakikutana njiani

Yaani Kati ya wotee waliopiga wakikutana Whatsapp, FB, BADOO ila mimi ndio jumba bovu limeniangukia..

Dah kweli DUNIA haina haki.....

#YNWA
 
Dear Sir/Madam;
YAH:- ACHA KUJIDANGANYA.
Dunia ya sasa haitamki nakupenda ikimaanisha uko pekee yako.
Jifanye wewe kuch kuch hotae uone dunia ikufundishe.
Men are after pussy.
Women are after money.

Huyo uliyenae mmoja na kujifariji na hupimi nae kila mara kuna sehemu huko anakula/analiwa vizuri tuu.

No TRUE LOVE, We hit and run.

Waliojifanya wanapenda fungua NYUZI zao humu uone wanavyolia.

Mr. Liverpool.

#YNWA
 
Umepima dna?
 
Sperm ili ziwe na kiherehere unatakiwa ufanyeje???
 
Kitanda hakizai haramu
 
Mimi nina asilimia 98 % kuwa huyo mtoto ni wako Kwa sababu wewe ulikuwa unaenda peku Ila wenzio walikuwa wanatumia kondom.

Chakufanya nenda kapime DNA unaweza ukakataa damu yako hivi hivi yaani..
 
Baada ya hii timu ya wakorofi wa England kuyumba na mashabiki wake wameyumba hivi?
 
Nauhakika wewe unahitaji elimu ya UKIMWI hiyo uliyonayo ni kanyaboya.

Demu wa badoo anamla kavu kavu kisa kapima na vipimo vya nyumbani?

Vipi kuhusu hepatitis b ama homa ya ini nayo anampima nyumbani?

Vipi kuhusu herpes na hepatitic C.

Elimu ya ngono zembe ni janga la taifa... watu wengi hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…