Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
to learn from a bogus project that wastes a corridor of +27 km on just a toll highway to nowhere! Idiot, i don't wanna learn utopolo! Those poles could be put in a manner a corridor of at least 2 lanes for BRT buses! Ila mamburura hamjafikiria hilo!Do you want to learn or throw around childish insults?
You posted your own thread as a source, it's you that's in denial.Seriously men, are you in denial or what?
It has the source in that post. You just had to open it and see. How is that so hard?
Here you goYou posted your own thread as a source, it's you that's in denial.
Hii habari huwa wanaikataa!Here you go
Govt Unveils BRT Buses Schedule for Nairobi Estates
BRT buses will serve five routes within Nairobi County, ferrying passengers to and from various estates.www.kenyans.co.ke
Like I explained from that thread, this is a bogus blog and nothing like that exists in Nairobi. Currently, there are two lines of BRT infrastructure under construction in Nairobi. One is along the Expressway and the other is along Thika road. You can decide to take that information or continue gulping what pleases your gut as long as it makes you feel good about yourself.Here you go
Govt Unveils BRT Buses Schedule for Nairobi Estates
BRT buses will serve five routes within Nairobi County, ferrying passengers to and from various estates.www.kenyans.co.ke
Nashangaa anajifanya hajui kuwa wamezindua a 12 bus BRT.Hii habari huwa wanaikataa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Like I explained from that thread, this is a bogus blog and nothing like that exists in Nairobi. Currently, there are two lines of BRT infrastructure under construction in Nairobi. One is along the Expressway and the other is along Thika road. You can decide to take that information or continue gulping what pleases your gut as long as it makes you feel good about yourself.
Kaka hapa you are missing a point,Watu wanahitaji kudrive gari zao...commuter train maana yake ukifika unakoenda utafute usafiri mwingine ila iyo imekaa kibepari zaidi...Ni idea nzuri pia. ..kumbuka japo kuna zalishwa moshi mwingi mchafu lakini pia uchumi unazunguka vIzuri, Fikiria watu laki 2 waache gari zao nyumbani wapande treni kwenda kazini wauza mafuta wamepoteza kaisi gani kwa siku?na ajira ngap ziko mashakani
Halafu wanajenga kiboya bila ku-economize space chini ya hii highway kama wangekuwa na maono wangemwambia mchina aache upana wa kutosha 2 lanes za BRT katikati ya nguzo na nguzo, Ila wapii! Mamburura walikosa akili hiyo!Kaka hapa you are missing a point,
Idea ya kupunguza foleni barabarani ni pamoja kupunguza idadi ya Magari barabarani (yakiwemo yale binafsi)
Kama kukiwa na usafiri mzuri wa umma, watu wengi wataacha magari yao majumbani na kutumia magari ya uma, (decent commuter trains + brt)
Mimi nakaa Kimara na nimeona wengi wakipaki magari yao Kimara mwisho na kudandia mwendokasi hadi posta, wakirudi wanachukua magari yao, tayari hapa Kimara kuna parkings ambazo ukiacha chombo yako hapo ni buku tu kwa siku nzima na ulinzi upo,
Mimi pia nikiwa na mishe posta weekend huwa naacha chombo hapo nadandia mwendokasi fasta. Japo katikati ya wiki bado sishawishiki kutumia public transport.
Honestly, decent trains and Brt was better idea than the stupid overpriced chinese owned expressway. Upuuzi wa Kenya hakuna Africa nzima, kukosa maono kwa viongozi wa Kenya ndio kunafanya overpriced projects za mikopo ya wachina kama SGR na Lamu port kuwa white elephants.
Asante. Case closed.Watu hupoteza masaa mangapi kunasa kwenye foleni?kama unaweza tumia lita mbili hadi tatu umesimama tu si bora ulipe iyo Tsh 2000 uwahi kufika ukafanye mambo mengine!!
Kikubwa iyo barabara isitengeneze foleni popote iyo express kwelikweli...Ukishakua na uhakika wa kufika kazini kwa wakati na kurudi home kwa wakati mtaongeza uzalishaji mali na muda wa kupumzika pia utaongezeka...!!Kwa mtazamo wangu Iyo expressway ni ya muhimu
Napenda jinsi unavyofikiria.Watu wanahitaji kudrive gari zao...commuter train maana yake ukifika unakoenda utafute usafiri mwingine ila iyo imekaa kibepari zaidi...Ni idea nzuri pia. ..kumbuka japo kuna zalishwa moshi mwingi mchafu lakini pia uchumi unazunguka vIzuri, Fikiria watu laki 2 waache gari zao nyumbani wapande treni kwenda kazini wauza mafuta wamepoteza kaisi gani kwa siku?na ajira ngap ziko mashakani
Mtaendelea kuona hii maneno kwenye video!Napenda jinsi unavyofikiria.
Ziko wapi, tatizo ulianzisha uzi kinafikiNashangaa anajifanya hajui kuwa wamezindua a 12 bus BRT.
Wataongea nini sasa wakati hawachangii hata 100 kwenye Mradi. Mwenye hela yake anaamua ajengaje kwa manufaa yake. Kimsingi mchina atataka kuona foleni inaongezeka Nairobi na hakuna any project ili wajazane kwenye expressway apige pesa nyingi for the next 30yrs. Hawezi acha nafasi ya Brt au LRT ambazo zikijengwa zitapunguza Mapato kwenye mradi wake wa expresswayHalafu wanajenga kiboya bila ku-economize space chini ya hii highway kama wangekuwa na maono wangemwambia mchina aache upana wa kutosha 2 lanes za BRT katikati ya nguzo na nguzo, Ila wapii! Mamburura walikosa akili hiyo!
Ina maana hii link huja iona ama?Ziko wapi, tatizo ulianzisha uzi kinafiki
USA kwa mfano watu wengi wanamiliki magari yao binafsi...kule usafiri wa umma ni wa kizamani maana hauna soko sana...ndio maana wao waliwekeza sana kwenye barabara pana madaraja makubwa na hadi kufikia kua na barabara za kulipia...Kaka hapa you are missing a point,
Idea ya kupunguza foleni barabarani ni pamoja kupunguza idadi ya Magari barabarani (yakiwemo yale binafsi)
Kama kukiwa na usafiri mzuri wa umma, watu wengi wataacha magari yao majumbani na kutumia magari ya uma, (decent commuter trains + brt)
Mimi nakaa Kimara na nimeona wengi wakipaki magari yao Kimara mwisho na kudandia mwendokasi hadi posta, wakirudi wanachukua magari yao, tayari hapa Kimara kuna parkings ambazo ukiacha chombo yako hapo ni buku tu kwa siku nzima na ulinzi upo,
Mimi pia nikiwa na mishe posta weekend huwa naacha chombo hapo nadandia mwendokasi fasta. Japo katikati ya wiki bado sishawishiki kutumia public transport.
Honestly, decent trains and Brt was better idea than the stupid overpriced chinese owned expressway. Upuuzi wa Kenya hakuna Africa nzima, kukosa maono kwa viongozi wa Kenya ndio kunafanya overpriced projects za mikopo ya wachina kama SGR na Lamu port kuwa white elephants.
We are not saying everyone apande metro au BRT. What we are suggesting is that wouldn't be better to use the opportunity and resources that is now building Express toll roads to build SGR?USA kwa mfano watu wengi wanamiliki magari yao binafsi...kule usafiri wa umma ni wa kizamani maana hauna soko sana...ndio maana wao waliwekeza sana kwenye barabara pana madaraja makubwa na hadi kufikia kua na barabara za kulipia...
Kiukweli Mimi siwezi acha gari yangu nikapande mwendokasi!!gari yako inaraha yake...unatoka ofisini unaendaunakoenda anytime ,Haiepukiki watu kua na magari lakini kwa wale ambao hawana Huo uwezo basi ni vyema kuwaboreshea usafiri wao usiwe na kero nyingi...
Kikubwa kila mtu apambane na uwezo wake hatuwezi wote kupanda metro au BRT ilo haliwezekani...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Okay, Labda huelewi tu, kwa nchi zilizoendelea za Ulaya na Marekani Karibu kila kaya ina gari moja au zaidi, walio wengi bado huacha magari yao na kutumia public transport kuepuka gharama nyingi zikiwemo parking mijini etc..zile foleni unaona kwenye baadhi ya miji kama Loss Angels ni sehemu ndogo sana ya magari yaliyopo Califonia. Ndio maana zimewekeza saana kwenye public transport maana mifumo ya usafiri wa umma ikiwa hovyo watu wakatoka na magari yao itakuwa ni disaster mzee..USA kwa mfano watu wengi wanamiliki magari yao binafsi...kule usafiri wa umma ni wa kizamani maana hauna soko sana...ndio maana wao waliwekeza sana kwenye barabara pana madaraja makubwa na hadi kufikia kua na barabara za kulipia...
Kiukweli Mimi siwezi acha gari yangu nikapande mwendokasi!!gari yako inaraha yake...unatoka ofisini unaendaunakoenda anytime ,Haiepukiki watu kua na magari lakini kwa wale ambao hawana Huo uwezo basi ni vyema kuwaboreshea usafiri wao usiwe na kero nyingi...
Kikubwa kila mtu apambane na uwezo wake hatuwezi wote kupanda metro au BRT ilo haliwezekani...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
We jamaa tangu tukupige za uso umeanza kutoa point za kitoto sana.Watu hupoteza masaa mangapi kunasa kwenye foleni?kama unaweza tumia lita mbili hadi tatu umesimama tu si bora ulipe iyo Tsh 2000 uwahi kufika ukafanye mambo mengine!!