USA kwa mfano watu wengi wanamiliki magari yao binafsi...kule usafiri wa umma ni wa kizamani maana hauna soko sana...ndio maana wao waliwekeza sana kwenye barabara pana madaraja makubwa na hadi kufikia kua na barabara za kulipia...
Kiukweli Mimi siwezi acha gari yangu nikapande mwendokasi!!gari yako inaraha yake...unatoka ofisini unaendaunakoenda anytime ,Haiepukiki watu kua na magari lakini kwa wale ambao hawana Huo uwezo basi ni vyema kuwaboreshea usafiri wao usiwe na kero nyingi...
Kikubwa kila mtu apambane na uwezo wake hatuwezi wote kupanda metro au BRT ilo haliwezekani...
Sent from my SM-J200H using
JamiiForums mobile app