Maywether aliwahi kuulizwa.yeye kama baba wa mabinti alionao.anadhani anafaa kua mume bora kwa mkewe, ambapo angetamani Wanawe wawe na mume wa aina yake.?Aman iwe nanyi wapendwa
Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba
Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa
Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba
Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana, mwanaume mpuuzi mwenye binti/mabinti ukiwauliza hilo swali huwa kama sio kuchukia hawawezi kujibu.Maywether aliwahi kuulizwa.yeye kama baba wa mabinti alionao.anadhani anafaa kua mume bora kwa mkewe, ambapo angetamani Wanawe wawe na mume wa aina yake.?
Alijiumauma..nilicheka sana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona hiki ni kitu cha kawaida sana hiki kwa sisi WANAUME MKUU..Aman iwe nanyi wapendwa
Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba
Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa
Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba
Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tabia ya kubinuabinua madada wa watu,ukiwaza tu nawe unaye basi inaleta mgogoro binafsi.Safi sana, mwanaume mpuuzi mwenye binti/mabinti ukiwauliza hilo swali huwa kama sio kuchukia hawawezi kujibu.
And yes there is karma, safi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata tabia ya kubinuabinua madada wa watu,ukiwaza tu nawe unaye basi inaleta mgogoro binafsi.
Na mahela yale yote ana mademu saba tu?? Jamaa lizembe sana hili... Lisipoangalia vizuri linaweza kuja kuwa shogaAman iwe nanyi wapendwa