Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2+Wewe unao wangap mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila nadhani kwa mtoto inauma zaidi, ukiwaza mwanao kipenzi nae atachezewa kama ulivyochezea watoto wa wenzio daaaah!!!
Hahaaaaa!!Nilikua na rafiki yangu yuko speed sana. Nikamwambia Chief, you know you got a daughter! Anasema aaaaah man, dont bring those stories now. Namkumbusha hao watoto anaowachezea nao wana wazazi wao.
Role model wenu.Saba kitu gani? Mfalme Suleiman alikua na 700 na masuria 300.
Hii kauli ya unamchezea mtoto wa watu au mnapenda kusema unanichezea tu siielewagi. Hv unataka kusema kula P ni kuichezea?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila nadhani kwa mtoto inauma zaidi, ukiwaza mwanao kipenzi nae atachezewa kama ulivyochezea watoto wa wenzio daaaah!!!
Ukikua utaielewa, its just a matter of time mkuu.Hii kauli ya unamchezea mtoto wa watu au mnapenda kusema unanichezea tu siielewagi. Hv unataka kusema kula P ni kuichezea?
Mi naelekea uzeeniUkikua utaielewa, its just a matter of time mkuu.
Siongelei umri mkuu.Mi naelekea uzeeni
Hahahah halow aya bwanaHata tabia ya kubinuabinua madada wa watu,ukiwaza tu nawe unaye basi inaleta mgogoro binafsi.