My weather kaniacha mdomo waz

My weather kaniacha mdomo waz

Safi sana, mwanaume mpuuzi mwenye binti/mabinti ukiwauliza hilo swali huwa kama sio kuchukia hawawezi kujibu.
And yes there is karma, safi tu.
Nimekuelewa shem wangu
 
And the winner is still undefeated world champion Floyd MayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyWEATHER
 
Jamaa bado na hela zote anatendwa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila nadhani kwa mtoto inauma zaidi, ukiwaza mwanao kipenzi nae atachezewa kama ulivyochezea watoto wa wenzio daaaah!!!

Nilikua na rafiki yangu yuko speed sana. Nikamwambia Chief, you know you got a daughter! Anasema aaaaah man, dont bring those stories now. Namkumbusha hao watoto anaowachezea nao wana wazazi wao.
 
Saba kitu gani? Mfalme Suleiman alikua na 700 na masuria 300.
 
Nilikua na rafiki yangu yuko speed sana. Nikamwambia Chief, you know you got a daughter! Anasema aaaaah man, dont bring those stories now. Namkumbusha hao watoto anaowachezea nao wana wazazi wao.
Hahaaaaa!!
Mkuki kwa nguruwe uh!!
Mkumbushe karma is real.
 
Ukiwa siyo bahili... hata uwe nao ishirini na wakajuana wote bado watakuwa poa na wewe...

Sijataja pesa moja kwa moja kwa sababu unaweza ukawa na pesa lakini bahili...

cc: mahondaw
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila nadhani kwa mtoto inauma zaidi, ukiwaza mwanao kipenzi nae atachezewa kama ulivyochezea watoto wa wenzio daaaah!!!
Hii kauli ya unamchezea mtoto wa watu au mnapenda kusema unanichezea tu siielewagi. Hv unataka kusema kula P ni kuichezea?
 
Hii kauli ya unamchezea mtoto wa watu au mnapenda kusema unanichezea tu siielewagi. Hv unataka kusema kula P ni kuichezea?
Ukikua utaielewa, its just a matter of time mkuu.
 
Yaani wewe jamaa kujiiita beby..daresalaam bana
 
Back
Top Bottom