My weather kaniacha mdomo waz

My weather kaniacha mdomo waz

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba

Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa

Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba

Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PESA IPO HATA UWE NAO 50 HUWEZI NI SAWA TENA HUTASKIAWAMEGOMBANA HATA SIKU MOJA SABABU PESA IPO.
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba

Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa

Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba

Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Maywether aliwahi kuulizwa.yeye kama baba wa mabinti alionao.anadhani anafaa kua mume bora kwa mkewe, ambapo angetamani Wanawe wawe na mume wa aina yake.?

Alijiumauma..nilicheka sana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Safi sana, mwanaume mpuuzi mwenye binti/mabinti ukiwauliza hilo swali huwa kama sio kuchukia hawawezi kujibu.
And yes there is karma, safi tu.
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba

Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa

Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba

Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hiki ni kitu cha kawaida sana hiki kwa sisi WANAUME MKUU..
 
Safi sana, mwanaume mpuuzi mwenye binti/mabinti ukiwauliza hilo swali huwa kama sio kuchukia hawawezi kujibu.
And yes there is karma, safi tu.
Hata tabia ya kubinuabinua madada wa watu,ukiwaza tu nawe unaye basi inaleta mgogoro binafsi.
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba

Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa

Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba

Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mahela yale yote ana mademu saba tu?? Jamaa lizembe sana hili... Lisipoangalia vizuri linaweza kuja kuwa shoga
 
Back
Top Bottom