sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma,
Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to Arab". kisha baadae ikaja julikana wote walikua ni Wayahudi/wazayuni.
Sipati picha kama hili tukio lingetokea ikawa ni wapalestina. kwenu wazayuni wa kimara temboni.