Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Ndiyo akili yako ilikokomea?We nakujua, kuna nati hazijakaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo akili yako ilikokomea?We nakujua, kuna nati hazijakaza
Tia kwenye kikombe ukanywe na bwana ako
Ukimuangalia tu unaona kabisa dishi limeyumba.Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma,
Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to Arab". kisha baadae ikaja julikana wote walikua ni Wayahudi/wazayuni.
Sipati picha kama hili tukio lingetokea ikawa ni wapalestina. kwenu wazayuni wa kimara temboni.
View attachment 3241029
Wazayuni wa kimara temboni 😂😂😂😂🙌Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma,
Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to Arab". kisha baadae ikaja julikana wote walikua ni Wayahudi/wazayuni.
Sipati picha kama hili tukio lingetokea ikawa ni wapalestina. kwenu wazayuni wa kimara temboni.
View attachment 3241029
Wa Nini Hawa?, na wewe wa Nini pia?hapa walokole hutawakuta
Hii habari ingekuwa imefanywa na mwarabu .. wamaghsrib wote wangeshaakutoa matamkoHii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma,
Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to Arab". kisha baadae ikaja julikana wote walikua ni Wayahudi/wazayuni.
Sipati picha kama hili tukio lingetokea ikawa ni wapalestina. kwenu wazayuni wa kimara temboni.
View attachment 3241029
Acha makasirikoWa Nini Hawa?, na wewe wa Nini pia?
bebeni vifuani mizigo michache hasa ya kwenye jamii zenu, acheni kuvutiwa to be a dieing proxy wa mijitu mingine ambayo mpaka kufa kwako unaisikiaga tu, hutapata hata neno "thanks" from them.
Wauane tu, tunataka wapungueHii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma,
Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to Arab". kisha baadae ikaja julikana wote walikua ni Wayahudi/wazayuni.
Sipati picha kama hili tukio lingetokea ikawa ni wapalestina. kwenu wazayuni wa kimara temboni.
View attachment 3241029
Liweke kwenye basin ufue chupi yako.
Usichanganye mada Eli Cohen alikuwa Muyahudi ingawaje alizaliwa misri hata baba yake naye alikuwa Muyahudi ingawaje alitokea Allepo huko Syria. Myahudi ni Muyahudi tu hata kama atatokea ulaya au Marekani . Mara nyingi sana wayahudi hawachangamani ovyo ovyo na waarabu na ni rahisi sana kama unawajua kuwatofautisha waarabu wanajulikana na wayahudi wanajulikana vizuri labda kwa asiyewajua!!kuna arab jews wapo wengi tu Israel, Eli Cohen mwenyewe alikuwa arab jew, ukimuweka na waarabu huwezi tambua ni myahudi, lakini ndio hivyo alikuwa Mossad...
Hao tofauti zao ni misimamo, siasa, dini na imani lakini si muonekano, ni kama Africa weusi kwa weusi wanauana kisa siasa na dini...
Acha ujuaji kiongozi na ukubali kujifunza, wewe upo Africa huku lini uliwaona ukafahamu kuwatofautisha? hahahh, wenzako wanashindwa kutambuana halafu wewe kutoka nchi ya ulimwengu wa tatu umejua kuwatofautisha...Usichanganye mada Eli Cohen alikuwa Muyahudi ingawaje alizaliwa misri hata baba yake naye alikuwa Muyahudi ingawaje alitokea Allepo huko Syria. Myahudi ni Muyahudi tu hata kama atatokea ulaya au Marekani . Mara nyingi sana wayahudi hawachangamani ovyo ovyo na waarabu na ni rahisi sana kama unawajua kuwatofautisha waarabu wanajulikana na wayahudi wanajulikana vizuri labda kwa asiyewajua!!
Utazunguka sana lakini ukweli utabaki palepale waarabu na wayahudi wanafahamika vizuri sana kwa huku ni sawa na Watusi na wahutu. Wewe wayahudi unawajua kwa kusoma na ku- GUGU tu ninaye kuambia ninawafahamu nakushangaa unaposhupaza fuvu.Acha ujuaji kiongozi na ukubali kujifunza, wewe upo Africa huku lini uliwaona ukafahamu kuwatofautisha? hahahh, wenzako wanashindwa kutambuana halafu wewe kutoka nchi ya ulimwengu wa tatu umejua kuwatofautisha...
Eli Cohen alikuwa ni arab jew, au kasome Mizrahi Jews hawana tofauti na arabs kuanzia muonekano n.k utawatofautisha katika majina, dini na lafudhi, lakini kimuonekano hawana tofauti hao Mizrahi jews na waarabu na wapo wengi tu Israel...
We unafikiri Mossad walikuwa wajinga kumtumia Eli Cohen Syria?
View attachment 3243887
Ujuaji ukizidi unaonekana mweupe..
Unabishana na saa mbovuAcha ujuaji kiongozi na ukubali kujifunza, wewe upo Africa huku lini uliwaona ukafahamu kuwatofautisha? hahahh, wenzako wanashindwa kutambuana halafu wewe kutoka nchi ya ulimwengu wa tatu umejua kuwatofautisha...
Eli Cohen alikuwa ni arab jew, au kasome Mizrahi Jews hawana tofauti na arabs kuanzia muonekano n.k utawatofautisha katika majina, dini na lafudhi, lakini kimuonekano hawana tofauti hao Mizrahi jews na waarabu na wapo wengi tu Israel...
We unafikiri Mossad walikuwa wajinga kumtumia Eli Cohen Syria?
View attachment 3243887
Ujuaji ukizidi unaonekana mweupe..
Mlokole umevaa kichupiNiko hapa
Kweli jamaa anaonekana ni kama akili zimemruka.Unabishana na saa mbovu