Myth shattered: Kibera numbers fail to add up

Myth shattered: Kibera numbers fail to add up

TZ hakuna slum kama hizi usifanye mchezo kabisa kunatisha sana

Hiyo ni moja tu kuna nyingine tena panaitwa Kawangware! Kenya siyo mchezo bwana tunawafagilia tu kuwa wamepiga hatua kwenye maendeleo lakini kuna matatizo asikwambie mtu!!! Huko kwenye Slums hakuna vyoo ila kuna Flying Toilets kama ulishawahi kusikia. Slums za kwetu zina nafuu ingawa hata kwetu MZA kule milimani nako ni shida tupu lakini kuna unafuu huwezi linganisha na Kibera au Kawangware.
 
Niliwahi kuingia kwenye hii slum tena muda wa mvua jamani watu wana maisha magumu acheni tu!
 
Hata hizo za kenya ni cha mtoto slum zenyewe ziko nigeria cheki hii Documneary ya welcome to lagos

Zipo episode tatu hicho ni kipande cha episode ya pili. Ukienda youtube unaweza kuona documnetary yote.

Hii inaonyesha kwa nini wenzetu wanafakiwa . Sababu wanajua shida so wakipata opprtunity hawafanyi mchezo. Sisis watanznia kusema ukweli tumelemaa na hatuna shida ndo maana hatungaiki.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnafikiri Mungiki Brother pamoja na yule mkuda wa kutetea Kibera kwa nini wameamua kuwa Vimada na wanang'ang'ania EAF Kenya is a sorry state. wawadanganye ambao hawawafahamu.
 
Hiyo ni moja tu kuna nyingine tena panaitwa Kawangware! Kenya siyo mchezo bwana tunawafagilia tu kuwa wamepiga hatua kwenye maendeleo lakini kuna matatizo asikwambie mtu!!! Huko kwenye Slums hakuna vyoo ila kuna Flying Toilets kama ulishawahi kusikia. Slums za kwetu zina nafuu ingawa hata kwetu MZA kule milimani nako ni shida tupu lakini kuna unafuu huwezi linganisha na Kibera au Kawangware.

Na Kwingine kunaitwa kariobangi, kangemi, magare, mkuruu, kaiyaba, pipeline, dandora nk
 
Hivi mnafikiri Mungiki Brother pamoja na yule mkuda wa kutetea Kibera kwa nini wameamua kuwa Vimada na wanang'ang'ania EAF Kenya is a sorry state. wawadanganye ambao hawawafahamu.
Mkuu Wacha, yule jamaa yetu tuliekuwa tunalumbana naye hapa aitwaye smatta yuko wapi???? maana topic kama hizi ndiyo anazoibukiaga...... maana anaugua 'we are better than tz syndrome'.
 
Na Kwingine kunaitwa kariobangi, kangemi, magare, mkuruu, kaiyaba, pipeline, dandora nk

DA inaonekana Kenya unaifahamu vizuri sana wewe!! Kote huko kunatisha mdogo usiombe!!
 
Mkuu Wacha, yule jamaa yetu tuliekuwa tunalumbana naye hapa aitwaye smatta yuko wapi???? maana topic kama hizi ndiyo anazoibukiaga...... maana anaugua 'we are better than tz syndrome'.

Atasingizia kuwa mmeandika Kiswahili hakukielewa!!
 
Nyaralego yupo hapa....:teeth:

I am here!!! what's your problem Bantug?!!

I was wondering when you all would start with the Kenya bashing again...I can see I did not have long to wait. Yeah, Kibera is a slum SO!!

Manzese, Uwanja wa fisi?...
 
whats good Nyaralego, its been a minute since most Kenyans posted here, seems like people shifted forums, these fruits been sh*tting on us for a while now. Poverty in Africa is real, and y'all saying that Kenya has extreme conditions for the poor to live in is true but it also comes out as arrogant and somehow sadistic in a twisted kinda way. kibera is just part of a large problem of informal settlement in Kenya, it has been there for a very long time made worse by population increase and rural urban migration which is an obvious effect of urbanisation. The Kenyan goverment for a few years now has been building highrises to try and avert the problem and reduce the number of slums in Kenya, at least something is being done despite the condition that is being potrayed by money hungry NGOs and the west media. am sure most of you know the effects of urbanisation, the condition in Kenya is made worse by the land problem, soaring population, and the meagre remuneration given to unskilled labourers who work in the industries and have no choise but to live in such conditions. you cant compare urban living in Kenya with Tanzania, in as much as we are bundled in the same group we are so different, Tanzania for instance has little industries compared to Kenya and thus rural urban migration is not as much, despite the laziness arable land is in plenty in Tanzania and the skies seem to favour you, therefore many people prefer to live in the rural area than come fight it out in cities.. What am trying to say is that, given the same conditions, Tanzania would have far much worse slums than Kenya due to your high illiteracy rates and your inherent laziness. good day y'all, let me rest ma head, had a long night jana.
 
I am here!!! what's your problem Bantug?!!

I was wondering when you all would start with the Kenya bashing again...I can see I did not have long to wait. Yeah, Kibera is a slum SO!!

Manzese, Uwanja wa fisi?...

gud to c u dude!manzese na uwanja wa fisi is not slums bana hey!
 
hahaha!thats smatta bana,with the samasame song of lazzyness and illiteracy of tz!ningeshangaa kama usingetokea kny this useful thread
 
Back
Top Bottom