chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Watu headline hawasomi wanakimbilia kutukana...tusiwe wavivu soma kitu ukielewe hayo yote kaandika vichekesho.Msipanic San ndio maana umeitwa mzaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]"hata mimi mwanangu alivyokuwa umri wa tiffa alikuwa anafanya integration...sema sipendi show off"-King😀