MZAHA: Mtoto Tiffah aonesha uwezo mkubwa darasani, aanza kufanya hisabati za Std 3

MZAHA: Mtoto Tiffah aonesha uwezo mkubwa darasani, aanza kufanya hisabati za Std 3

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
We jamaa hata sijui huwa unawaza nini aiseee,yaani full burudani.
 
msagasumu huyo msanii namba mbili hata hvyo umempendelea kumuweka ktk namba hiyo
 
Aiseee haya mahaba!!! ninaimani maneno hayo ungemwambia mwanao angeongeza kitu kichwani akaja kuwa msaada kwako...
Punguani ww.
 
Hahahahaaa huu usenge mwingine bana. Haya komaeni lakini mnapofanya uharo huu mkumbuke kusomesha na ndugu zenu kama hamna watoto
 
"hata mimi mwanangu alivyokuwa umri wa tiffa alikuwa anafanya integration...sema sipendi show off"-King😀
 
Back
Top Bottom