MZAHA: Mtoto Tiffah aonesha uwezo mkubwa darasani, aanza kufanya hisabati za Std 3

kweli unasaga sumu watoto 43 kutoka mataifa 41 yaani umetudanganya kila sentensi
 
Una matatzo ww cy bure,huyo Tiffeh anamiaka mingapi hadi afanye hesabu darasa LA 3?
 
Watu headline hawasomi wanakimbilia kutukana...tusiwe wavivu soma kitu ukielewe hayo yote kaandika vichekesho.
Ndio kawaida yetu sie wabongo tunasoma Tu ila hatufikirihi na kutafakar japo hata kidgo tunachokisoma....MTU hajui utani unakuwaje NA issue serious inakuwaje....Yaan kwake yy kwake rangi zote ni nyekundu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahaha msaga sumu.asee we jamaa
 
post za msagasumu,Hance Mtanashati,warumi, na Lukelo sakafu ni burudani sana
 
Subutuuuu[emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji23]
 
Ngoja nicheke kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatakama ni mambo ya uteam muwe munaangalia na vitu vya kutundanya miaka miwili na hesabu za darasa la tatu wapi na wapi ...ua ndo kutandikia watu jamvi ..?
 
Dah ila hawa wanagegedana sana, toto langu na mama chanja kubwa kuzidi tiffah mpaka sasa hatujaona kama busara kumpa dogo lake, wao tayari kile kitiffah kina mdogo wake,
 
Hahahahaha msaga sumu eti GPA ya kufa mtu mdio ipi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…