Mzaha mzaha....!!?

Mzaha mzaha....!!?

Iliwahi kunitokea nilipanga nyumba flan na kwenye hyo nyumba mpangaji nilikuwa peke yangu. Baba mwenye nyumba alikuwa mkandarasi alikuwa na miaka kama 47 kwahyo muda mwingi jamaa alikuwa anashinda site alikuwa anaweza kusafiri mpaka miezi mitatu hakanyagi home.

Sasa huyo mke wake alikuwa na kijambio hatari akaanza kuleta Tabia za kuja kuazima CD akiwa amejifunga kanga moja tu au taulo.

Muda mwingine anapika chakula ananiletea. Nilivyoona hzo dalili kwakuwa jamaa yake alikuwa na pesa ya kutosha niliamua kuhama kunusuru usalama wangu maana jamaa alikuwa anampenda sana mke wake
 
Una akili timamu kweli jamaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Back
Top Bottom