Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili timamu kweli jamaaIliwahi kunitokea nilipanga nyumba flan na kwenye hyo nyumba mpangaji nilikuwa peke yangu. Baba mwenye nyumba alikuwa mkandarasi alikuwa na miaka kama 47 kwahyo muda mwingi jamaa alikuwa anashinda site alikuwa anaweza kusafiri mpaka miezi mitatu hakanyagi home.
Sasa huyo mke wake alikuwa na kijambio hatari akaanza kuleta Tabia za kuja kuazima CD akiwa amejifunga kanga moja tu au taulo.
Muda mwingine anapika chakula ananiletea. Nilivyoona hzo dalili kwakuwa jamaa yake alikuwa na pesa ya kutosha niliamua kuhama kunusuru usalama wangu maana jamaa alikuwa anampenda sana mke wake
Jamaa alikuwa anampenda sana mke wake maana kila akija lazma ambadilishie gari lakn mwanamke alikuwa macho juu sana alikuwa anakula Bata mnoUna akili timamu kweli jamaa
Ukahama kabisa nyumbaJamaa alikuwa anampenda sana mke wake maana kila akija lazma ambadilishie gari lakn mwanamke alikuwa macho juu sana alikuwa anakula Bata mno
View attachment 2476687
Hutumbua usaa...
Fumba macho nikuombee dua njema.Chunga simu wasiitwae!Jamaa alikuwa anampenda sana mke wake maana kila akija lazma ambadilishie gari lakn mwanamke alikuwa macho juu sana alikuwa anakula Bata mno
😂😂😂😂Fumba macho nikuombee dua njema.Chunga simu wasiitwae!