Mzalendo Nasogea Golgota, Je huyu ndo mrithi wa ROMA? Je hatafungiwa!

Hapana mkuu si kweli. Mfano Mimi siko ktk mambo ya vyama nilichotizama hapa ni jinsi gani kijana ameweza kutumia ufundi wake kimuziki...hiphop kufikusha ujumbe. Mfano maneno hayo hayo angeyaimba kw ma mziki wa taarab nisingemsifia
 
Kipi sio cha ukweli...?????
 
Wabongo kwa ujinga wa kulazimisha vitu na kuviita vyao, utafikiri wakenya. Sawa basi, na pia tufanye Soul na Funk music kuwa ni yetu na wewe ni mfalme wa kuimba hiyo miziki duniani kote, unasemaje?
 
Ujinga sumu kweli, wewe ulivyozaliwa ulikuta hizo smartphone na tablet? Ovyoo wapigie bac wamarekani wachukue makompyuta yao. Yaani ww sio vyako umeona mziki tu dah

Nikuulize jambo nje ya box....hivi music wa kiarab au wa kichina si wa harakati? Jibu ni kwamba ni wa harakati na ufundisha jamii ya kwao, Hip Hop ni music wa Marekani wa watu weusi si wa hapa Tanzania wala kwingine duniani, soma history yake....Msipende kulazimisha ujinga. Mnaonekana wapumbavu tu.
 
Hata ulichoandika hapa ww mwenyewe sidhani kama umeelewa, ww ni arrogant. Baki ivyo ivyo
 
Hata ulichoandika hapa ww mwenyewe sidhani kama umeelewa, ww ni arrogant. Baki ivyo ivyo

Arrogant wakati nakufundisha, au hutaki kujifunza ila hupo tu hapa kwa ajili ya ubishi? Hivi unajuwa unabishia nini lakini? Soma history ya Hip Hop kisha uje hapa useme Tanzania inahusika na nini katika Hip Hop, usiwe mwehu wa kupenda kubisha tu na kulazimisha vitu kisa umeaminishwa na watu (Ruge). Mpuuzi sana wewe.
 
Unanifundisha kitu gani ujinga tu. Vitu vyote duniani vina historia yake labda uniambia tecnologia historia yake n wap
 
Wabongo kwa ujinga wa kulazimisha vitu na kuviita vyao, utafikiri wakenya. Sawa basi, na pia tufanye Soul na Funk music kuwa ni yetu na wewe ni mfalme wa kuimba hiyo miziki duniani kote, unasemaje?

Mkuu hapo sasa umeamua kukaza kichwa. hebu nipe mfano wa muziki ambao wew unaona ni wa kitanzania kabisaaa ili tuanzie hapo. vile tunaeza kuwa tunabishana bila kuelewana vile hata taarabu asili yake ni waarabu
 
Mkuu Hiphop music kuanzia marekani haimaanishi marekani ndio wanamiliki Hiphop, ndio maana Dunia nzima kuna Hiphop artist. hakuna aliyesema Hiphop ni ya kwetu. ila mtu akiimba na kufuata misingi ya mziki kutokana na walioanzisha lazima apewe sifa zake.

hebu nipe tatizo uliloona kwenye huu wimbo wa mzalendo, kwenye misingi ya Hip hop kipi hajaenda sawa.????
 
Mkuu kwenye right za umiliki (copyright) hakuna mtu anayemiliki aina ya muziki duniani.

mkuu unaeza nieleza Gosple song(nyimbo za injili) zilianzia nchi gani..???
 
Huyu jamaa ni kamanda, kajiandaa hawawezi kumpata .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…