mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
\\Unanifundisha kitu gani ujinga tu. Vitu vyote duniani vina historia yake labda uniambia tecnologia historia yake n wap
Mkuu hapo sasa umeamua kukaza kichwa. hebu nipe mfano wa muziki ambao wew unaona ni wa kitanzania kabisaaa ili tuanzie hapo. vile tunaeza kuwa tunabishana bila kuelewana vile hata taarabu asili yake ni waarabu
Mkuu Hiphop music kuanzia marekani haimaanishi marekani ndio wanamiliki Hiphop, ndio maana Dunia nzima kuna Hiphop artist. hakuna aliyesema Hiphop ni ya kwetu. ila mtu akiimba na kufuata misingi ya mziki kutokana na walioanzisha lazima apewe sifa zake.
hebu nipe tatizo uliloona kwenye huu wimbo wa mzalendo, kwenye misingi ya Hip hop kipi hajaenda sawa.????
kaiga na hajuwi kuimba.