Mzalendo Nasogea Golgota, Je huyu ndo mrithi wa ROMA? Je hatafungiwa!

Mzalendo Nasogea Golgota, Je huyu ndo mrithi wa ROMA? Je hatafungiwa!

Mkuu hapo sasa umeamua kukaza kichwa. hebu nipe mfano wa muziki ambao wew unaona ni wa kitanzania kabisaaa ili tuanzie hapo. vile tunaeza kuwa tunabishana bila kuelewana vile hata taarabu asili yake ni waarabu


mchiriku, Singeli, bongo dansi,
 
Mkuu Hiphop music kuanzia marekani haimaanishi marekani ndio wanamiliki Hiphop, ndio maana Dunia nzima kuna Hiphop artist. hakuna aliyesema Hiphop ni ya kwetu. ila mtu akiimba na kufuata misingi ya mziki kutokana na walioanzisha lazima apewe sifa zake.

hebu nipe tatizo uliloona kwenye huu wimbo wa mzalendo, kwenye misingi ya Hip hop kipi hajaenda sawa.????


kaiga na hajuwi kuimba.
 
Rejea kichwa cha habari..... Msanii mzalendo katoa wimbo uliojaa ukweli mtupu... lakini sijawahi kuusikia ukipigwa kwenye media.....Nawaza na kuwazua.....Ukisubir kutetewa imekula kwako....Simama...... Kwa TZ hakuna tajiri atasimama kutetea mwenye dhiki......VIJANA TUMUUNGE MKONO MZALENDO TWENDENI GOLGOTA
 
Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu. Ungefafanua kidogo Golgota ni wapi na inahusiana na nini?
 
Wimbo gani huo .....na Golgota ya wapi .....kama wimbo weka hapa tuone
 
Back
Top Bottom