Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege kwani ni za watanzania au ni ndege za ccm?Hii imekuja baada ya chadema kugeuka chama cha kushangilia mabaya yote yanayoitokea nchi, mfano kukamatwa kwa ndege, kunyimwa misaada na korosho kukosa soko.View attachment 1189315
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.

Ninyi mnaposhangilia ya Lissu tuwaitaje...dawa ya deni ni kulipa.
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Matrilioni na bado wanaendelea kukopaHivi wanatudai ngapi
Kidunia mwisrael mmoja ni sawa na watanganyika 10.Ndege inaweza kununuliwa lakini uhai wa mtu haununuliliki
Waliosababisha deni si chadema ni nyie ccm sababu ya mkurupuko wa kuvunja mikataba.Kwann majanga yenu mhuzunike na wote.
Ngoja tusubiri akistaafu tuone zitapaki chato???Hizo ndege ni za rais na ccm, hakuna anayejua zimenunuliwa kwa njia gani na bei gani. Na uendeshaji wake hauko wazi watu kuweza kujua kama zinaendeshwa kwa faida au hasara. Hizo ndege huitwa za rais na sio za wananchi. Msitake kuwatumia wananchi kwenye utetezi wa hilo deni ambalo halifahamiki lilipatikanaje. Siku huyo Lissu akishika serekali anapaswa kujua hayo madeni yalipatikanaje, kama kuna watu waliyasababisha kizembe itakula kwao na sio kulindana kijinga. Sio kila mtu anajivunia hizo ndege maana , zinatumika kuhalalisha ukandamizaji wa kiitikadi.
Tunao mawakili wengi wa serikali ambao ni wazuri, wataenda kumaliza kazi yote, kuna wengine 15 tuliwaona juzi kwenye kesi ya mtu mmoja tu, I think wao wakienda na huko ndege yetu inarudi tu