Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA

Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA

Hadi sasa tushajenga viwanda 3000 na uchumi wa viwanda unakua Kwa kasi hako kadeni kiasi cha mboga tutawalipa tu.Turudi hewani tuwe wazalendo
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    69.7 KB · Views: 17
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Kwani Nani kasababisha Ndege kuzuiliwa ?
Deal with that person....
Ma Mbweha wakubwa nyie
 
Nina mashaka kama hawa ni Raia wa Taifa hili.
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Labda nikutoe wasiwasi , Unachokiita uzalendo katika nchi yenu umeharibiwa na awamu ya 5 na nakuhakikishia kwamba kwa unyama uliotendwa na awamu hii uzalendo hautarudi tena mpaka ccm ing'olewe , tumefanya utafiti wa kutosha mno.

Yaliyotendwa na awamu hii hayasameheki hata na Shetani , bali mkae mkijua kwamba kisasi kinawasubiri lije jua au inyeshe mvua , Mungu siyo fala ! unamkumbuka Samuel Doe ? sasa subiri kudadeki !
 
Mchawi namba moja wa serikari ya Tanzania ni wao wenyewe hivi hawa watu wamelogwa au wana nini kwanini awaweki details za kesi zao hadharani yaani watanzania wanajifunza mengi kupitia upande wa pili and much could be bias info what is wrong with these people.
 
Dawa ya Deni ni kulipa ,yote hayo yamefanyika chini ya CCM msitake huruma ya Wananchi.

Mnapaswa kuwa Jela kwa hasara mliyokwisha ipatia Nchi hii.

Madudu Mengi sana alafu mnajitia Wazalendo.
 
Mkirindi,

..hilo deni limesababishwa na serekali za ccm.

..badala ya kuadhibu wana-ccm waliosababisha deni hilo mnaandama wapinzani.

JokaKuu,
Well said mkuu! Huu utawala wa CCM awamu hii is a bunch of hooligans…! Ni upumbaf na wendawazimu kiwango cha lami kuanza KULAUMU CHADEMA KWA MAKOSA NA UZEMBE WA CCM…!
Kila Mtz anajua nnani aliyesaini hii MIKATABA YA KIFISADI kati ya ATC NA SAA(South Africa Airways)enzi za MKAPA na KIKWETE wakiwa Marais awamu ya 3&4!
Sasa kama ndege ya ATC imezuiliwa huko Afrika Kusini kwa deni wanalodaiwa na SAA kumbe Mafisadi na Maficcm wa Lumumba waltaka CHADEMA na Watz Wazalendo tufanyeje? Tuanze kulia na kuhuzunika kwa upuuzi wa CCM? No way!
Kama Magufuli ana hela za kununua BOMBADIA na DREAMLINER anashindwa nn kulipa madeni ya kifisadi yaliyotengenezwa na Mafisadi wenzake?
Dawa ya deni ni kulipa. CCM acheni visingizio bhana……! Tunajua Mkutano wa 39th wa SADCountries umemalizka juzi na Magufuli ndo Mwenyekiti wao ni kiasi cha kumpigia simu Rais wa Sauz na kumwamuru aiachie ndege ya ATC…!Full stop!
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Sio madeni tyuu atarithi na mafanikio yote...
Madege mafly over mazahanati Sgr umeme vjjni nidhamu ya watumishi na kila unalojua
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Lissu akiwa raisi mtalipa ninyi hayo madeni
 
Hii imekuja baada ya chadema kugeuka chama cha kushangilia mabaya yote yanayoitokea nchi, mfano kukamatwa kwa ndege, kunyimwa misaada na korosho kukosa soko.View attachment 1189315
Akili matope kweli. Manlikoroga halafu mnatolea ushuzi wenu kwa watu wengine? Walioko Ubelgiji ndio wametoa amri ya kukamatwa ndegè? Bure kabisa. Lipeni madeni ya watu muache kulia lia.
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Kwahiyo hapo tatizo ni TL au deni? Kwanini msilipe madeni mnayodaiwa?
 
Ramafosa kumbe ni balaa yani zile sifa na mbwembwe zote za kutupamba ilikuwa ni chambo tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni suala la utawala wa sheria tu Kaka. Rama hayuko juu ya sheria na wala hakuna anayeingilia mhimili mwingine.
 
Back
Top Bottom