Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA

Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA


Hawa watu wanastahili kuwaita majina yote mabaya zaidi ya wajinga.
Kila jambo baya linalotokea ukichunguza tayari walishaonywa sana na wabunge wa upinzani lakini wanaishia kuwakebehi na kusemea sio wazalendo.
Sasa hapo Kubenea kumbe deni hili alilisemea na hatari ya ndege kuja kushikwa lakini akapuuzwa!
Sasa kama sio upumbavu ni nini? Hawa tuwatoe madarakani hata kama ni kwa nguvu kisha waburuzwe mahakamani wote. Marabuk!

Hivi kesho lissu akijiunga ccm utamwita jina gani.
 
Mawakili 50 wakiwa wamejiandaa kupambana na mabepari huko sauzi,naskia wamejiandaa full nondo kwa style hii,mungu ibariki tanzania na mawakili 50 wake
Hii imekuja baada ya chadema kugeuka chama cha kushangilia mabaya yote yanayoitokea nchi, mfano kukamatwa kwa ndege, kunyimwa misaada na korosho kukosa soko.View attachment 1189315
IMG_20190824_223409.jpeg
 
Ramafosa kumbe ni balaa yani zile sifa na mbwembwe zote za kutupamba ilikuwa ni chambo tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Muhimili wa kutoa haki unaheshimiwa kule bondeni sio kama kwenye Chiefdom yetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Mjomba chutama
 
Back
Top Bottom