Dini zote zinafundisha na kuelekeza wafuasi wake kuwa " Mpende jirani yako kama unavyojipenda" " Mfanyie mwingine vile unataka ufanyiwe"
DAWA YA DENI KULIPA
Serikali ya magufuli inataka kulipwa madeni na washirika wake kwa namna yeyote kwa hiari na kwa nguvu, mfano: Wafanyabiashara kodi juu, huwezi funga biashara yako. Wawekezaji, urasimu na Kofi juu. ACACIA, kama hamtoi NOAH kwa kila Mtanzania ondokeni au muuze kampuni kwa wanaokubali kulipa deni bila kujali mkataba. Wakulima Wa korosho na sasa wakulima Wa pamba ni shida.
Deni LA Siku nyingi SAA kwa nini asilipe?
Kama anahela ya kujenga SGR na Bwawa la umeme kwa nini asilipe deni?
Wachina wanajipanga kukamata barabara zote walizotujengea kwa mkopo, kisa wamechukia tunavyosema tunajenga hizo barabara kwa pesa zetu.
Tujiandae kudhalilishwa kwa hiyo mikopo tunayoichukua kimyakimya.