Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA

Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA

Nenda kadai uenyekiti wa chadema ,utaelewa nini maana ya msaliti na adhabu anayopewa
kwasasahivi hoja yenu inayowanyima usingizi ni CHADEMA.. lkn kile chama chenu m'badala CUF.. swala la uenyekiti wake mmelivalia miwani ya mbao. jifanyeni hamuoni ila muda unakaribia wa kuwavua bikini zenyu mpate kuona na kujitambua.
 
Ujinga ni kikundi Fulani kilichoharibu maisha ya watanzania kuamini kuwa kila wakifeli basi wanaofurahia kufeli kwao ni chadema.Waacheni chadema wamekaa kimya na hawashiriki hata chaguzi endeleeni na maisha yenu.

Watanzania hawaitaki ccm,hawawataki bali mnalazimisha huo ndo ukweli.
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Toa mfano wa mtu awaye yoyeto aliyeshangilia vinginevyo wewe ndiye unajitekenya na kucheka
 
Ujinga ni kikundi Fulani kilichoharibu maisha ya watanzania kuamini kuwa kila wakifeli basi wanaofurahia kufeli kwao ni chadema.Waacheni chadema wamekaa kimya na hawashiriki hata chaguzi endeleeni na maisha yenu.

Watanzania hawaitaki ccm,hawawataki bali mnalazimisha huo ndo ukweli.
Kwanza kabisa hawana hata mfano wa mtu mmoja aliyeshangilia, they are just shouting their stupidity
 
Mkatakalia hivyo hivyo nyumbuwasaliti wakubwa nyie
sawa sie nyumbu lakini nyie ni mazwazwa wakutupwa tumewajua akili zenyu za kizwazwa kwenye kesi ya LISSU. hebu nitajie mmeweka mawakili wangapi vileee??? ukichanganya na mkuu wao jumla wangapi?? mnapambana na vichwa vyenye akili nyingi vinne 4 tu kuadadadadadeki.. vichwa vya kizwazwa utavijua tu vinapokwama. KALIPENI DENI LA ATCL si mmejigamba mnanua KESHHHH hamkopi?? au na huko nako mnapeleka mawakili mazwazwa? huko mjue hakuna kubadili lugha kama mlivyozoea hapa. eti tuoengee kiswahili ili muelewe vizuri .. shwain kweli nyie.
KALIPENI DENI NDIO DEBE LENU LIACHIWE SHWAINNNN NYIE

mmeweka jumla mazwazwa16 gawa 4 = 4 inamaana kila zwazwa wa4 wa ccm ni sawa na kichwa kimoja chenye akili nyingi kutoka cdm
 
Mkatakalia hivyo hivyo nyumbuwasaliti wakubwa nyie
1566802547265.png
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Bogus kabisa yaani una compare mtu na vītu? Tuache kumpigania Tundu ila tupiganie ndege? tambua binadamu n muhimu kuliko vitu vyote
 
Back
Top Bottom