Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Wamueondolee mashaka nani??Wagner kuondoa mashaka waweke doc alizokubali mwenyewe kwenda vitani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamueondolee mashaka nani??Wagner kuondoa mashaka waweke doc alizokubali mwenyewe kwenda vitani
Unaijua Wagner kwanza??Kwa hivyo Urusi amelemewa mpaka anatafuta maskini wa Afrika wampiganie....
Tatizo waarabu wa Afrika wengi wenu hamtaki kujitolea, mnapiga makelele humu tu...cc: Bwana Utam
Haya marlezo yanatosha. Kijana alitaka kununua uhuru wake.
BAD LUCK, he was a hero to himself!!
Watu weusi wanahitaji maelezo gani??
Pumba productionsKakusanyeni matakataka yote ila yatauliwa tu, hata kule kwa Kim kuna hawa mkawalete maana mumefyekwa balaa...
![]()
Sheria inaruhusu, wafungwa wananunua uhuru kwa kuwa wazalendo na kuipigania nchi..Utawapelekaje wafungwa wakapigane, ni aibu sana, jameni maustadhi, hata kujadili hili mnapaswa muingiwe na aibu
Sheria inaruhusu, wafungwa wananunua uhuru kwa kuwa wazalendo na kuipigania nchi..
Kijana kaichangamkia fursa, kala ajira vitani.
bad luck amefariki.
Sheria zinaruhusu.. kipi special???
Wale mercenaries wamefyekwa mbona nao ni wa kubumba?
Hao wanamgambo wa hovyo acha kuchekesha basiUnaijua Wagner kwanza??
Tumeambiwa Deni la Taifa linajumuisha deni la serikali na deni la watu ama mashirika binafsi. Hii ni sawa na kujumlisha deni la serikali (jeshi la Russia) na deni la watu/ mashirika binafsi (Wargnar Group/PMC) kupata deni la Taifa (carrying out Demilitarization and denazification operation in Ukraine)Kwa hivyo Urusi amelemewa mpaka anatafuta maskini wa Afrika wampiganie....
Tatizo waarabu wa Afrika wengi wenu hamtaki kujitolea, mnapiga makelele humu tu...cc: Bwana Utam
Mimi napata confusion: kuna mahari naona kama Putin aliweka mpango wa muda mrefu wa kuwalazisha wageni kwenda vitani. Mpango huu aliuanza kwa kuwawekea mitego na kuwafunga kama walivyomfanya mcheza kikapu wa Marekani ambaye urusi iemfanya kuwa kete yao ha turufu kwa ku-swap na mrusi muuza silahaHaya marlezo yanatosha. Kijana alitaka kununua uhuru wake.
BAD LUCK, he was a hero to himself!!
Watu weusi wanahitaji maelezo gani??
western propagandaMimi napata confusion: kuna mahari naona kama Putin aliweka mpango wa muda mrefu wa kuwalazisha wageni kwenda vitani. Mpango huu aliuanza kwa kuwawekea mitego na kuwafunga kama walivyomfanya mcheza kikapu wa Marekani ambaye urusi iemfanya kuwa kete yao ha turufu kwa ku-swap na mrusi muuza silaha