Mzanzibar huyu anatishia NDOA yangu•

tuletee mrejesho mkuu.
 
Mi naona kuna mambo mengi ukuyasema apa kaka. Kwa mfano jee uyo dada, kakufaham kwa jina, kakueleza mlikutana wap, jina lake kwako c gen, maelezo ake anayoyatoa yanaashiria kua anakufaham nk. Embu mtafte muonane ili na yeye ajiridhishe mi naamin kama wew co wala atokusumbua tena.
 
Pasco jaribu kuvivaa viatu vya mhusika ndo urudi tena kumshauri...huyo bi dada kakomaa na matusi na tuhuma nzito ambazo zaweza kumvunjia ndoa yake kama alivyosema...kajaribu kumwelewesha hailewi...anafanyaje!kutafuta ushauri...kama ambavyo angelipeleka kwa wazazi wake ndivyo alivyolileta hapa...sisi tunasimama kama wazi na ndugu wa karibu.kutoa namba si issue...watu wanasumbuliwa na michepuko hadi wanaisema kwa wake zao ije kuwa hii issue.
 

Hii namba mbona inaandika JECHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…