Mzao wa Tippu Tip uko wapi?

Tipp Tip alikuwa ni Mchotara kama Obama, hata Obama amemuua Gadafi pia!
Salaam
Waungwana
Ukoo wa huyu muungwana unaitwa Al marjeby. Lakini la kushangaza sana huyu bwana hakuwa mfanya biashara ya utumwa kama mlivyofunzwa historia ya uongo na wazungu na vibaraka wao. Huyu ndie aliyekuwa anaaminiwa kuijua Tanganyika hadi Kongo wakati huo na alikuwa mfanyabiashara wa kawaida na mtu pekee ambae ameishi na kuona tawala za masultani tofauti Zanzibar kuliko mtu yeyote. Wakati Livingstone na Stanley wanafika Zanzibar yeye ndie aliepewa watu hawa wawili ili awafikishe Tanganyika na walikuwa hawana pesa. Aliwachukua kwa gharama zake hadi kufika safari yao. Samahani kwa sasa sitaweka source. La kushangaza walipofika London walizua uongo wa utumwa ili kuraise fund kwa ajili ya kupambana nao watakaporudi Afrika Mashariki. Na ukitaka kujua kama wazungu waongo kuhusiana na utumwa nenda Bwagamoyo, fika kwenye banda la historia ya mji la serikali kasha tazama rekodi ya historia fupi ya mji huo kwenye ubao uliombatana na picha utakuta pia wameweka picha ya Bushiri bin Salim Al harthy pamoja na picha ya huyu jamaa kuwa walikuwa vinara wa bishara hiyo. Huo ni ushahidi mdogo tu ambao naomba msomaji akifika kwenye mji ule ajidhirishe mwenyewe.
Kuhusu uko wake, mimi najua mji walio vitukuu vyake ila sitoutaja na wala sio Tanzania walipo wale direct discendants na wala hawatumii hili jina la Tip tip ambalo lilikuwa la utani. Baadhi wapo Zanzibar hadi leo na kama ujuavyo mali zao zimetaifishwa na serikali dhalim ya kimapinduzi.
Naomba niishie hapa.
 
According to wikipedia mama yake ndo alikua mwarabu wa Oman baba yake alikua mswahili wa zanzibar.
 
Tipp tip alisaidia sana kueneza kiswahili,na yeye biashara yake ilikuwa pembe za ndovu
 
Wasamehe bure, kuna watu bila kukuchokoza hawaoni raha
 


Tippu Tip alikuwa Mchotara au siyo? kwanza tuanzie hapo!
 
Mkuu weka yote tujue zaidi, sisi wenyewe tutachanganya akili zetu na za kuambiwa, au wazani tukijua ukoo wake ulipi tutaenda kuwafilisi, kama alifanya mema tutajua, funguka tu mkuu.
 
Mkuu weka yote tujue zaidi, sisi wenyewe tutachanganya akili zetu na za kuambiwa, au wazani tukijua ukoo wake ulipi tutaenda kuwafilisi, kama alifanya mema tutajua, funguka tu mkuu.
Playboy,
Kuijua historia ya utumwa inahitaji fikra iliyotulia na usomi makini.

Mada ya utumwa tumeshaijadili hapa siku za nyuma na nina hakika
wengi walinufaika kwa kusomeshwa kile ambacho hawakuwa kabla
wanakijua.

Kabla ya kufilisi chukua muda usome hayo yapo chini:
file:///C:/Users/yemen/Downloads/Chapter%203%20Ibrahim%20Noor%20book%20Tanzania%20na%20Propaganda%20za%20Udini-1.pdf
 
Kumbe kiduku (mtindo wa kunyoa) kimeanza zamani [emoji60] [emoji60] [emoji60]
 
Kumbe ni sehemu ya muendelezo miaka ile yule mchezaji sijui wa timu gani alivyonyoa kiduku alijiona ndo wa kwanza kumbe kwetu afrika tulianza muda tu a'm proud to be an African![emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Naomba unisaidie. Mzungu gani alikuja kuchukua mtumwa kutoka Tanzania?
 
Uko sahihi sana, nimewahi kutembelea hayo makumbusho ya Livingstone, kuna historia ya kusisimua sana
 
ukipata mjukuu wake hata mmoja tu anatakiwa akaliwe tigo kabisa manake babu yao alifanya ushetani sana.
Haifai makosa ya babu yawaadhibu wajukuu mkuu
 
Na vizazi vya Mirambo viko wapi ? sababu nae alikuwa mlanguzi na msafirishaji mkubwa wa watumwa, alikuwa mpaka anawakamata vijijini na kuwasafirisha pwani. Migogoro yake yote na warabu ilikuwa ni kugombania biashara hii
 
Duh! wewe ni nouma,hongera jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…