wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Mzee Mohamed Said wewe ni kisima cha historia ya Tanganyika Kongole mzee wangu wasiokupenda ni wale wahaini wa mioyo yaoNasaluka,
Unaingia hapa: www.mohammedsaid.com.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mohamed Said wewe ni kisima cha historia ya Tanganyika Kongole mzee wangu wasiokupenda ni wale wahaini wa mioyo yaoNasaluka,
Unaingia hapa: www.mohammedsaid.com.
Wa Ukae,Mzee Mohamed Said wewe ni kisima cha historia ya Tanganyika Kongole mzee wangu wasiokupenda ni wale wahaini wa mioyo yao
Karume wakati wa mapinduzi alihakikisha anawamaliza waraabu wote. ..kati ya waislam 20000 walo uliwa na mauaji yale ya 1964 basi 80% walikua warabu.Kwa hiyo unaona hiyo ni sifa kuwa na uhusiano na huyo mchotara na muuwaji Tipp Tip? Mimi ningekuwa raisi wa JMTZ watu kama ninyi ningeweka ndani na kuwafilishi wote!
Umenifurahisha sana eti mwarabu wa kayenze, kule warabu wameisha wamebaki warabu ukoko tu pale kayenze, kweli hawa jamaa hawaachani na kupanda maembe hata kayenze yalikuwepo ya kutosha maeneo ya waarabu.Imekaa poa sana.
Barafu wewe Mwarabu wa Kayenze?