Mzao wa Tippu Tip uko wapi?

Mzao wa Tippu Tip uko wapi?

Kwa hiyo unaona hiyo ni sifa kuwa na uhusiano na huyo mchotara na muuwaji Tipp Tip? Mimi ningekuwa raisi wa JMTZ watu kama ninyi ningeweka ndani na kuwafilishi wote!
Karume wakati wa mapinduzi alihakikisha anawamaliza waraabu wote. ..kati ya waislam 20000 walo uliwa na mauaji yale ya 1964 basi 80% walikua warabu.
Na wengine maelfu wakakimbia Zanzibar.
Walokua hawana uwezo kukimbia akawafunga jela na kuwatesa...mwisho akaoa waraabu watatu sio kwa mapenzi bali kutakabar na ukubwa.
Lakini kila akizunguka aliona bado hawa matip tip wapo na wana nguvu na influence... alijaribu kupanda chuko lkm haikufua dafu...
Aliwahi kusema tunataka kusafisha waraabu hapa ili akionekana basi awe wa dawa na watu wawe wanaineshana...yuuuuuuuule mwarabu.....lakini aliondoka yeye na kuwaacha waraabu raha mstarehe.
Hivyo hata wewe ingekua hivo hivo tu
 
Hawa watumwa walitoka wapi hasa? Walikuwa watu wa namna gani, je ni wale walokataliwa na jamii zao au? Je waliuzwa maeneo/nchi zipi hasa? Je kuna waliofanikiwa kurejea wao wenyewe au vizazi vyao? Je serikali zetu zinafatilia kujua hatma za watu hawa?
 
Imekaa poa sana.
Barafu wewe Mwarabu wa Kayenze?
Umenifurahisha sana eti mwarabu wa kayenze, kule warabu wameisha wamebaki warabu ukoko tu pale kayenze, kweli hawa jamaa hawaachani na kupanda maembe hata kayenze yalikuwepo ya kutosha maeneo ya waarabu.
 
Back
Top Bottom