kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
huo uzi kama unaukumbuka nitajie jina lakeKuna mwamba humu yapita kma wiki 2 nyuma alikuja na thread akielezea mambo haya haya
Hatimae limetokea
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu salama
🤣 🤣 🤣Heheheee! Kaka hapa sio marekani
Copy and Paste kama ilivyokutwa;
"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa mujibu wa madaktari tarehe 26 na kufariki 27 Septemba 2024 katika Hospitali ya Rufaa Kitete, baada ya kupelekwa na mwanaume nisiyemjua."
"Mwanaume huyo alipomfikisha hospitali, alilipa pesa ya awali hospitali na kumwachia mdogo wa marehemu elfu 40 ya dharula. Mdogo wa marehemu aliitwa na mwanaume baada ya dada yake kupata shida hiyo. Watu waliokuja nyumbani baada ya mazishi ni wafanyakazi wenzake tu kwa kadiri ya maelezo yao."
"Wakati tatizo linampata tayari mwanaume huyo alikuwa akiishi naye kwa siri, inasemekana ni mwanajeshi wa kambi ya Mabama Tabora, alimchukua bila ya mimi kuwa na taarifa. Nina wasiwasi kifo cha mwanangu si cha kawaida."
"Ninaomba kupaziwa sauti ili haki itendeke. Baba ninakuomba nina maumivu makali."
Izidory Petro Chinyo,
Mzazi.
20 Novemba 2024.
Atajua yeye Marehemu, ukikosea utaambiwa tu umekosea...!Unamlaumu vipi marehemu? Atajiteteaje?
Daah! Wewe jamaa kama una mawazo haya si vifo vitakuwa vingi mtaaniBinti Kesha kufa? Ni muhimu ku move forward, utakachosaidiwa ni huyo Jamaa kuchunguzwq, kushtakiwa, wewe kwenda mahakamani kuteseka, then ukifanikiwa afungwe au ahonge atoke, au atoke kwa rufaa, Hapo umesaidika nini?
Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa sisi wazazi. Tunatakiwa kuwa karibu na watoto wetu. Imagine mtoto alikuwa anaishi na mwanaume kwa siri, na mzazi alikuwa hajui mpaka kifo chake kilipotokea!Copy and Paste kama ilivyokutwa;
"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa mujibu wa madaktari tarehe 26 na kufariki 27 Septemba 2024 katika Hospitali ya Rufaa Kitete, baada ya kupelekwa na mwanaume nisiyemjua."
"Mwanaume huyo alipomfikisha hospitali, alilipa pesa ya awali hospitali na kumwachia mdogo wa marehemu elfu 40 ya dharula. Mdogo wa marehemu aliitwa na mwanaume baada ya dada yake kupata shida hiyo. Watu waliokuja nyumbani baada ya mazishi ni wafanyakazi wenzake tu kwa kadiri ya maelezo yao."
"Wakati tatizo linampata tayari mwanaume huyo alikuwa akiishi naye kwa siri, inasemekana ni mwanajeshi wa kambi ya Mabama Tabora, alimchukua bila ya mimi kuwa na taarifa. Nina wasiwasi kifo cha mwanangu si cha kawaida."
"Ninaomba kupaziwa sauti ili haki itendeke. Baba ninakuomba nina maumivu makali."
Izidory Petro Chinyo,
Mzazi.
20 Novemba 2024.
Daah! Wewe jamaa kama una mawazo haya si vifo vitakuwa vingi mtaani
Kwani mtu akifika umri wa utu uzima, si inajulikana kwamba anaweza akajiamulia mambo yake?Wakulaumiwa kwanza marehemu kisha huyo mjeda.
Binti wa elimu hiyo alifanyaje uamuzi wa kuishi na mwanaume bila kumtambulisha kwa wazazi wake?
Binti zetu wanapuuzia mambo ya msingi, hawasikilizi wazazi mwisho wanasababisha maumivu kwa wazazi.
Pole familia ya marehemu.
Kuna namna (assumptions or theories) nyingi Sana kuhusiana mkasa huu, but, all in all, huyo Mwanajeshi ni KEY SUSPECT kwenye mkasa huu.Copy and Paste kama ilivyokutwa;
"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa mujibu wa madaktari tarehe 26 na kufariki 27 Septemba 2024 katika Hospitali ya Rufaa Kitete, baada ya kupelekwa na mwanaume nisiyemjua."
"Mwanaume huyo alipomfikisha hospitali, alilipa pesa ya awali hospitali na kumwachia mdogo wa marehemu elfu 40 ya dharula. Mdogo wa marehemu aliitwa na mwanaume baada ya dada yake kupata shida hiyo. Watu waliokuja nyumbani baada ya mazishi ni wafanyakazi wenzake tu kwa kadiri ya maelezo yao."
"Wakati tatizo linampata tayari mwanaume huyo alikuwa akiishi naye kwa siri, inasemekana ni mwanajeshi wa kambi ya Mabama Tabora, alimchukua bila ya mimi kuwa na taarifa. Nina wasiwasi kifo cha mwanangu si cha kawaida."
"Ninaomba kupaziwa sauti ili haki itendeke. Baba ninakuomba nina maumivu makali."
Izidory Petro Chinyo,
Mzazi.
20 Novemba 2024.
Mkuu ukipata watoto wanaojielewa shukuru tu Mungu... kuna changamoto sana siku hizi. Nenda Kigamboni, vibinti vya IFM na Mwalimu Nyerere "vimeolewa" ndoa zisizo rasmi, na vingine mpaka vimezaa na wazazi mikoani huko hawana habariWakulaumiwa kwanza marehemu kisha huyo mjeda.
Binti wa elimu hiyo alifanyaje uamuzi wa kuishi na mwanaume bila kumtambulisha kwa wazazi wake?
Binti zetu wanapuuzia mambo ya msingi, hawasikilizi wazazi mwisho wanasababisha maumivu kwa wazazi.
Pole familia ya marehemu.
Utajua hujui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii hali inaogopesha kwasababu kuna binti kanafunga chuo cha ualimu tarehe 21 sasa lengo langu nikaburudike nae kwa likizo yake yote ya wiki 2,, sasa ikitokea akanifia huko hotelini sijui nitafanyaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo conclusion ni wivu wa mapenzi, mjeda kaona sms za ajabu kaona bora amalizane nae kibingwa kufidia misaada aliyokuwa anamtumia hapo chuo cha kodi halafu kumbe matozi wanagonga free mbupu.
Exactly..Wakulaumiwa kwanza marehemu kisha huyo mjeda.
Binti wa elimu hiyo alifanyaje uamuzi wa kuishi na mwanaume bila kumtambulisha kwa wazazi wake?
Binti zetu wanapuuzia mambo ya msingi, hawasikilizi wazazi mwisho wanasababisha maumivu kwa wazazi.
Pole familia ya marehemu.
Si wanataka maisha mazuri, acha majanga yawakutee.Mkuu ukipata watoto wanaojielewa shukuru tu Mungu... kuna changamoto sana siku hizi. Nenda Kigamboni, vibinti vya IFM na Mwalimu Nyerere "vimeolewa" ndoa zisizo rasmi, na vingine mpaka vimezaa na wazazi mikoani huko hawana habari