Mzazi adai kuwa na mashaka ya kifo cha binti yake kinachodaiwa kusababishwa na sumu, alikuwa akiishi kwa siri na mwanaume anayedaiwa kuwa mwanajeshi

Pole sana mkuu Kwa Msiba wa mtoto wako mpendwa,umesema huenda mtoto amefariki Kwa sumu je huyo mwanajeshi ndiye aliyemnywesha ili kumuua,na je Binti ni chini ya miaka 18? Kama ni maamuzi ya Binti na umri ni zaidi ya 18 busara itumike japo inauma,je mtoto ameshazikwa kama Bado basi muhimu marehemu afanyiwe uchunguzi wa kitaalamu ili kubaini je amefariki Kwa sumu na kama sumu swali la ziada mwanajeshi ndiyo aliyemnywesha ni mchakato unaoumiza kuona binadamu akichanwanwa na ikiwa ameshazikwa mchakato wa vibali vya mahakama mwili ufukuliwe ndipo ufanyiwe uchunguzi uchunguzi wake wahitaji utulivu Toka walipokuwa wanaishi maisha kabla ya kifo siku ya tukio ilikuwaje ndio mwanga utapatikana kumuhusisha mwanajeshi na hayo mauaji na nafikiri huenda kulikuwa na kugombana kama wapenzi Binti akaamua kunywa sumu kujiua Kwa hapo mwanajeshi tutamuhusisha vipi yote Kwa yote kama shaka si kubwa ni kumuasha Binti akapumzika juu ya haki yake akaachiwa Muumba.
 
Copy and Paste kama ilivyokutwa;

"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa mujibu wa madaktari tarehe 26 na kufariki 27 Septemba 2024 katika Hospitali ya Rufaa Kitete, baada ya kupelekwa na mwanaume nisiyemjua."

"Mwanaume huyo alipomfikisha hospitali, alilipa pesa ya awali hospitali na kumwachia mdogo wa marehemu elfu 40 ya dharula. Mdogo wa marehemu aliitwa na mwanaume baada ya dada yake kupata shida hiyo. Watu waliokuja nyumbani baada ya mazishi ni wafanyakazi wenzake tu kwa kadiri ya maelezo yao."

"Wakati tatizo linampata tayari mwanaume huyo alikuwa akiishi naye kwa siri, inasemekana ni mwanajeshi wa kambi ya Mabama Tabora, alimchukua bila ya mimi kuwa na taarifa. Nina wasiwasi kifo cha mwanangu si cha kawaida."

"Ninaomba kupaziwa sauti ili haki itendeke. Baba ninakuomba nina maumivu makali."

Izidory Petro Chinyo,
Mzazi.
20 Novemba 2024.

Binti Kesha kufa? Ni muhimu ku move forward, utakachosaidiwa ni huyo Jamaa kuchunguzwq, kushtakiwa, wewe kwenda mahakamani kuteseka, then ukifanikiwa afungwe au ahonge atoke, au atoke kwa rufaa, Hapo umesaidika nini?
 
Watoto zetu ni wake za watu isivyo rasmi unakuta kuna mambo yalikuw yanaendelea hata ujui.
 
Binti Kesha kufa? Ni muhimu ku move forward, utakachosaidiwa ni huyo Jamaa kuchunguzwq, kushtakiwa, wewe kwenda mahakamani kuteseka, then ukifanikiwa afungwe au ahonge atoke, au atoke kwa rufaa, Hapo umesaidika nini?
Daah! Wewe jamaa kama una mawazo haya si vifo vitakuwa vingi mtaani
 
Ni vile tu wazazi hawajui, huko mavyuoni watu wanaoana sana bila ya wazazi kujua, hii ni hatari sema baada ya matatizo kutokea ndo watu hushtuka
 
Copy and Paste kama ilivyokutwa;

"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa mujibu wa madaktari tarehe 26 na kufariki 27 Septemba 2024 katika Hospitali ya Rufaa Kitete, baada ya kupelekwa na mwanaume nisiyemjua."

"Mwanaume huyo alipomfikisha hospitali, alilipa pesa ya awali hospitali na kumwachia mdogo wa marehemu elfu 40 ya dharula. Mdogo wa marehemu aliitwa na mwanaume baada ya dada yake kupata shida hiyo. Watu waliokuja nyumbani baada ya mazishi ni wafanyakazi wenzake tu kwa kadiri ya maelezo yao."

"Wakati tatizo linampata tayari mwanaume huyo alikuwa akiishi naye kwa siri, inasemekana ni mwanajeshi wa kambi ya Mabama Tabora, alimchukua bila ya mimi kuwa na taarifa. Nina wasiwasi kifo cha mwanangu si cha kawaida."

"Ninaomba kupaziwa sauti ili haki itendeke. Baba ninakuomba nina maumivu makali."

Izidory Petro Chinyo,
Mzazi.
20 Novemba 2024.
Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa sisi wazazi. Tunatakiwa kuwa karibu na watoto wetu. Imagine mtoto alikuwa anaishi na mwanaume kwa siri, na mzazi alikuwa hajui mpaka kifo chake kilipotokea!

Rest in peace young lady.
 
Nyege ni adui wa taifa.
Binti badala ya kusoma kwa makini yeye anataka kulamba dushe.
Ni ushenzi sana.
 
Wakulaumiwa kwanza marehemu kisha huyo mjeda.
Binti wa elimu hiyo alifanyaje uamuzi wa kuishi na mwanaume bila kumtambulisha kwa wazazi wake?

Binti zetu wanapuuzia mambo ya msingi, hawasikilizi wazazi mwisho wanasababisha maumivu kwa wazazi.
Pole familia ya marehemu.
Kwani mtu akifika umri wa utu uzima, si inajulikana kwamba anaweza akajiamulia mambo yake?
 
Copy and Paste kama ilivyokutwa;

"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa mujibu wa madaktari tarehe 26 na kufariki 27 Septemba 2024 katika Hospitali ya Rufaa Kitete, baada ya kupelekwa na mwanaume nisiyemjua."

"Mwanaume huyo alipomfikisha hospitali, alilipa pesa ya awali hospitali na kumwachia mdogo wa marehemu elfu 40 ya dharula. Mdogo wa marehemu aliitwa na mwanaume baada ya dada yake kupata shida hiyo. Watu waliokuja nyumbani baada ya mazishi ni wafanyakazi wenzake tu kwa kadiri ya maelezo yao."

"Wakati tatizo linampata tayari mwanaume huyo alikuwa akiishi naye kwa siri, inasemekana ni mwanajeshi wa kambi ya Mabama Tabora, alimchukua bila ya mimi kuwa na taarifa. Nina wasiwasi kifo cha mwanangu si cha kawaida."

"Ninaomba kupaziwa sauti ili haki itendeke. Baba ninakuomba nina maumivu makali."

Izidory Petro Chinyo,
Mzazi.
20 Novemba 2024.
Kuna namna (assumptions or theories) nyingi Sana kuhusiana mkasa huu, but, all in all, huyo Mwanajeshi ni KEY SUSPECT kwenye mkasa huu.
Remember: Every crime leaves a trail behind.

Huyo Mwanaume aliyekuwa naye marehemu kwa Mara ya mwisho ana hoja ya msingi ya kujibu. Uchunguzi LAZIMA uanzie kwake, japokuwa kwa upande mwingine ni kweli kabisa kwamba marehemu alikuwa ana makosa kutokumtambulisha huyo Mwanaume kwa ndugu zake, jamaa zake, au hata marafiki zake wa karibu.
Aidha, huyo marehemu alikuwa anafanya kazi gani na wapi?Je, huyo Mdogo wa marehemu hapo kabla alikuwa anafahamu mahusiano yaliyokuwepo kati ya huyo dada yake ambaye sasa ni marehemu pamoja na huyo mwanaume?Ana umri gani kwanza? Je, maiti tayari imezikwa au bado?
 
Wakulaumiwa kwanza marehemu kisha huyo mjeda.
Binti wa elimu hiyo alifanyaje uamuzi wa kuishi na mwanaume bila kumtambulisha kwa wazazi wake?

Binti zetu wanapuuzia mambo ya msingi, hawasikilizi wazazi mwisho wanasababisha maumivu kwa wazazi.
Pole familia ya marehemu.
Mkuu ukipata watoto wanaojielewa shukuru tu Mungu... kuna changamoto sana siku hizi. Nenda Kigamboni, vibinti vya IFM na Mwalimu Nyerere "vimeolewa" ndoa zisizo rasmi, na vingine mpaka vimezaa na wazazi mikoani huko hawana habari
 
Exactly..
IMG-20241110-WA0005.jpg
 
Mkuu ukipata watoto wanaojielewa shukuru tu Mungu... kuna changamoto sana siku hizi. Nenda Kigamboni, vibinti vya IFM na Mwalimu Nyerere "vimeolewa" ndoa zisizo rasmi, na vingine mpaka vimezaa na wazazi mikoani huko hawana habari
Si wanataka maisha mazuri, acha majanga yawakutee.
 
Back
Top Bottom