Mzazi akikokotana na mwanafunzi mlevi alietoka kuhitimisha mitihani ya sekondari

Mzazi akikokotana na mwanafunzi mlevi alietoka kuhitimisha mitihani ya sekondari

Nchi zilizoendelea unanyang'anywa leseni ya biashara ukimuuzia mtoto pombe, sasa sijui ni mfanya biashara gani mjinga aliwauzia hawa watoto pombe tena wanafunzi, na inaelekea alikuwa na wenzie.
 
Jitahidi kuwanenea wengine mema, huyo ni binti mdogo sana kumsemea ubaya namna hii.
Hizo Pombe nime mnywesha mimi.

Mtu ambaye yeye mwenyewe hajitakii mema wewe unajipa kazi ya nini?
 
Ukiwa na binti wako umri huo lazima ikuume tu,ila kama huna utaongea sana...
Sina hata wa umri huo, na hata kama nisingekuwa na binti kabisa au watoto kabisa ila sio vyema kusema maneno mabaya juu ya watoto.
Angekuwa mtu mzima wala nisingejali, ila binti mdogo namna hiyo nimeumia.
 
Hayo mabaya anayafanya yeye mwenyewe akiwa na akili timamu......Punguza Sensationalism hazikusaidii Dada Nifah
 
Hayo mabaya anayafanya yeye mwenyewe akiwa na akili timamu......Punguza Sensationalism hazikusaidii Dada Nifah
Akili timamu gani? Huyo ni binti wa miaka 15/16 hazidi 17!
Hiyo akili timamu anaipatia wapi? Angekuwa amekubuhu huyo baba angeongea kwa uchungu namna hiyo?

Mkuu umezingua, hakuna namna ya kujitetea katika hili.
 
Back
Top Bottom