Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Unadhani hizo pombe hakuzofata zilipo tena kwa kujificha.......kosa mnalofanya nyie wazazi wa siku hizi ni kudhani kuwa Vijana wa Miaka 15 hawana akili.Akili timamu gani? Huyo ni binti wa miaka 15/16 hazidi 17!
Hiyo akili timamu anaipatia wapi? Angekuwa amekubuhu huyo baba angeongea kwa uchungu namna hiyo?
Mkuu umezingua, hakuna namna ya kujitetea katika hili.
Ni ama hawana akili ama nyie wazazi ndio hamna akili.
Huyo huyo kijana wa 15yrs anatembeza Ngono kwa wazee wa miaka 60 na ukimkuta anavyojidai kuwa yeywe ni Gwijiu toamini..
Dada Nifa dont under Rate them. They do what they know.