Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Unadhani hizo pombe hakuzofata zilipo tena kwa kujificha.......kosa mnalofanya nyie wazazi wa siku hizi ni kudhani kuwa Vijana wa Miaka 15 hawana akili.Akili timamu gani? Huyo ni binti wa miaka 15/16 hazidi 17!
Hiyo akili timamu anaipatia wapi? Angekuwa amekubuhu huyo baba angeongea kwa uchungu namna hiyo?
Mkuu umezingua, hakuna namna ya kujitetea katika hili.
Akiangalia jinsi Mtoto wake mdogo alivyo Chakali kwa Chang'aaaDu!!! huyu mzee anaumia sana!!
Ndio matokeo ya kulelea watoto kwa bibi zao.Akili timamu gani? Huyo ni binti wa miaka 15/16 hazidi 17!
Hiyo akili timamu anaipatia wapi? Angekuwa amekubuhu huyo baba angeongea kwa uchungu namna hiyo?
Mkuu umezingua, hakuna namna ya kujitetea katika hili.
alaf inaelekea kameshapigwa m2ngo!!Akiangalia jinsi Mtoto wake mdogo alivyo Chakali kwa Chang'aaa
jicho lako limeshindwa kung'amua hiyo kuwa ni act...??Huyo baba anaongea kwa uchungu sana!
Hawa watoto jamani?
Whatever..jicho lako limeshindwa kung'amua hiyo kuwa ni act...??