Mzazi aliejikuta mzungu kumpa simu mtoto wa shule ya msingi yamtokea puani, Mtoto kaanza kucheki X na kujichua akiwa na miaka 8 tu

Nilipanga kumchukulia TABLET YA MASOMO MWANANGU WA STANDARD 4
Kwaio unanishaur niache si ndio??!
 
Wamama wa siku hizi wameshindwa lea
 
Kumpa mtoto simu siyo jambo baya ila kama mzazi umeamua hivyo hiyo simu ifanyie monitoring kwa kuweka parental control asiweze kufika baadhi ya sites za wakubwa.

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Achana na hao wahafidhina hawajui dunia inakokwenda. Ulaya kila mtoto mdogo ana simu na unakuta wanaenda nazo shule. La kuzingatia ni kumfundisha kipi ni kizuri na kipi ni kibaya na pia kuwa karibu naye. Tena huyo anayeanza kutumia simu akiwa mdogo ndiyo vizuri kwa sababu anajua kuji-control mapema na hawezi kudangang'anyika akiwa mkubwa.
 
Mwongo mkubwa wewe, ulaya ya wapi hiyo? Na ni level gani ya shule?
 
Kuna vitendo wanawake hasa singo mazaz wanawafanyia watoto utadhani wanawakomoa kesho yao!
Mtoto anaingizwa hadi kwenye dryer!
Anasukwa mpaka anashinda analia mama yake anadhan kafanya la maana!
Mtoto wa kiume ananyolewa kihuni hadi breach unaona kabsa analazmishwa kuwa panya road na hasara ya jamii mbelen!
Kuna wazazi wanawavalisha kimalaya malaya binti zao mpaka unaona kabsa wanaandaa vidangaji!
,,,,nahisi mama wa sasa wengi ni zao la uharibifu wanaharib pia uzao wao.
 
Inafikirisha sasa miaka 8 mpaka afike 20 siamechoka sana
 
Ndio mkuu. Kwasababu ya photosynthesis na molecule structures kwenye cells membrane na haemoglobin resulting hydrochloric acid protozoa pathogens in lower abdomen.
Fanya kama unakua boss,
Umri unaenda Mgerasi still una masikhara na mikwara roba mbili!
😁😁
 
Mtoto wangu wa miaka 9 hiko kimboo Cha kujichua sikioni Kwa mtoto wa miaka 8, kwangu huu Uzi una ukakasi
Sio watoto wote wana maumbo sawa na huyo wa kwako.

Mimi nimebarehe nikiwa bado mdogo kabisa, kwenye miaka 10 tayari nywele sehem za siri na dalili nyingine zilianza kujitokeza.

Wenzangu wanaanza barehe wakiwa 14 hadi 16, mimi tayari nishanyoa mara kibao.

Tunatofautiana mkuu, ni vile mimi sikuuajua hayo mapema kutokana na cycle yangu ila huenda na mm wazungu ningetoa.
 
Usasa mwingi.

Kwanza kabisa unamnunulia mtoto simu ya nini??
Sometimes umuhimu hakuna kabisa ila basi tu kwakua baba na mama hawataki mtoto ashike simu zao basi nae hununuliwa.

Ajabu ni kua anaitumia atakavyo na mzazi hagusi simu ya mtoto.
 
Nilipanga kumchukulia TABLET YA MASOMO MWANANGU WA STANDARD 4
Kwaio unanishaur niache si ndio??!
Usiache mkuu mnunulie kuna tablet za watoto kutokana na umri wao kuanzia 1 yr na kuendelea. Zina parental control wewe mzazi ndio utamanage kila kitu na hataweza fungua au download kitu bila ruhusa yako mzazi na baadhi ya vitu ( nje na umri na maudhui ya watoto) hata ukiruhusu mzazi havifunguki.
Binti yangu standard one anayo yake nimemjazia mambo ya shule, games na katuni za mafunzo/ masomo mtoto anajifunza huku anaenjoy. Unamjazia vitu ambavyo havihitaji internet access anaweza jifunza hata akiwa offline play store apps zimejaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…