princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Usasa mwingi.
Kwanza kabisa unamnunulia mtoto simu ya nini??
Sometimes umuhimu hakuna kabisa ila basi tu kwakua baba na mama hawataki mtoto ashike simu zao basi nae hununuliwa.
Ajabu ni kua anaitumia atakavyo na mzazi hagusi simu ya mtoto.
Wewe watoto wanatofautiana kuna wengine wadogo ila vidudu vyao vikubwa.Mtoto wangu wa miaka 9 hiko kimboo Cha kujichua sikioni Kwa mtoto wa miaka 8, kwangu huu Uzi una ukakasi
Sometimes ukiwa na hela unatamani mwanao apate kila kitu anachohitaji, ila kwa upande mwingine unamharibu kwasababu wewe mwenyewe kummonitor huwezi.Ujue nimewaza kwamba au kwkaua mimi sina hela afu sijazaa au nmetokea familia ambayo haijaelika???
Yani hili swala zima la simu naona ni upumbavu mkubwa! Mtoto unampa simu ya nini? Na ya kwako anaichezea kivipi? Amekosa vya kuchezea??? Hivi ni malezi ama ulimbukeni? Mana sisi tumekulia mazingira bila simu na ilikua poa tu si saizi tunazo... Hivi wazazi wa sikuhizi wana wazimu gani
Kwa hiyo unaamini mtoto wa umri huo anajichua kumwaga shahawa?Wewe watoto wanatofautiana kuna wengine wadogo ila vidudu vyao vikubwa.
Kuna jirani yangu mtoto wake wa kiume alikuwa chekechea kabisa, siku moja akaniita nilimsindikiza hospital mtoto atailiwe, yesu kwa mara ya kwanza niliona mtoto mdogo wa vile ana dondolo kubwa yaani hadi aibu.
Wakati wa kumfanyia usafi alikuwa akinita nimsaidie kumshika miguu amfanyie usafi hadi nilijikuta nacheka alivyo mdogo, dudu sasa dah. Wewe acha kabisa watoto wanatofautiana.
Yeah kabisa kabisa…hujapigwa ban kule midnight?Miaka 8 mtoto mkubwa kabisa, kuna mambo anaweza kufanya.
Huyo mtoto ni Mimi 😂😂😂Wewe watoto wanatofautiana kuna wengine wadogo ila vidudu vyao vikubwa.
Kuna jirani yangu mtoto wake wa kiume alikuwa chekechea kabisa, siku moja akaniita nilimsindikiza hospital mtoto atailiwe, yesu kwa mara ya kwanza niliona mtoto mdogo wa vile ana dondolo kubwa yaani hadi aibu.
Wakati wa kumfanyia usafi alikuwa akinita nimsaidie kumshika miguu amfanyie usafi hadi nilijikuta nacheka alivyo mdogo, dudu sasa dah. Wewe acha kabisa watoto wanatofautiana.
Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo tangu zamani mashuleni, mitaani, n.k. !! tofauti yao ni kwamba viungo vyao havijakomaa.
Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali.
Watoto wana uwezo mkubwa sana kujifunza vitu tusiwabeze, Fast forward mtoto alianza kuchimba chimba huko mitandaoni mpaka kujua kutumia vpn
Wazazi wake wanamkuta mtoto akijichua huku anaangalia hizo x kwenye simu, kufatilia zaidi mwalimu wake ni simu na internet.
Kumpa mtoto simu siyo jambo baya ila tuzingatie haya ::
- Unapompa mtoto simu hakikisha wewe uwe admin wa simu kisha unamsetia restricted mode / parental control mode /kids mode, hii inasaidia kuzuia access ya mambo ya kikubwa pia asishinde sana kwenye simu.
- Mnunulie mtoto wako kitochi, ni simu zisizo na mambo mengi ila mnaweza kuwasiliana, kujua alipo, n.k.
- hakikisha humwachii mtoto simu yenye bundle / data, download vitu anavyopenda, mwekee muvi / latuni / games anazopenda.
Inafikirisha sana kama kweli unaye huyo mtoto.Mtoto wangu wa miaka 9 hiko kimboo Cha kujichua sikioni Kwa mtoto wa miaka 8, kwangu huu Uzi una ukakasi
Inategemea mazingira unayomjengea. Kama wa miaka 8 anakushinda, akifikia 16 si atakuwa yuko mtaani huko haambiliki, hashikiki!Sasa miaka nane anasikia kitu?
Mkuu! Unaishi uzunguniimiaka 8 na kujichua hii kamba wallah
Ujue nimewaza kwamba au kwkaua mimi sina hela afu sijazaa au nmetokea familia ambayo haijaelika???
Yani hili swala zima la simu naona ni upumbavu mkubwa! Mtoto unampa simu ya nini? Na ya kwako anaichezea kivipi? Amekosa vya kuchezea??? Hivi ni malezi ama ulimbukeni? Mana sisi tumekulia mazingira bila simu na ilikua poa tu si saizi tunazo... Hivi wazazi wa sikuhizi wana wazimu gani
Ngoja hii aione adriz 😂😂Ndio mkuu. Kwasababu ya photosynthesis na molecule structures kwenye cells membrane na haemoglobin resulting hydrochloric acid protozoa pathogens in lower abdomen.
sidhani maana usiku wa saa 7 nilipita huko.Yeah kabisa kabisa…hujapigwa ban kule midnight?
Hapana sidhani kama watoto wana shahawa nadhani mpaka miaka 14 na kuendeleaKwa hiyo unaamini mtoto wa umri huo anajichua kumwaga shahawa?
alaah! abasi kizazi cha sasa kinakua na kukomaa mapema kama uyogaSerious….hutokea Daddy