Hakika, na nimempenda Bure😀Wajina wako huyo 😀
Hii ni maajabu
Maajabu haya
🤣🤣🤣Maajabu haya
You're the one, kwanini uwe na experience hivyo😁😁🤣🤣🤣
Halafu huyo kiumbe (sijui ni mbwa) alivotulia sasa, hawa ni kama wababa wanaonyonya manyonyo ya mtoto😂.
😂😂😂 hapana bhana nasikiaga tu vijana wale wa kwenye majukwaa ya vicheko wakisema.You're the one, kwanini uwe na experience hivyo😁😁
Haya endelea kusikia usijaribu😂😂😂 hapana bhana nasikiaga tu vijana wale wa kwenye majukwaa ya vicheko wakisema.
Atakuwa mraibu😀😀😀😀 akijaribu itakuwaje
Mwanzo 1:25 Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mwanzo 1:25 Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, namnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.![]()
Mwanzo 1:31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
hivi hawa tembo wa bongo hawafugiki kama wa huko Thailand, wale wanaofugwa kama punda tu. Huyu mnyama huwa napenda sana kumuona hasa akiwa mdogo, siku nikipita selous, nitaiba kimoja
Weeee watakufunga mpaka jela ichakae kabisa.. Sheria zetu haziruhusu kumiliki wanyama pori kama haohivi hawa tembo wa bongo hawafugiki kama wa huko Thailand, wale wanaofugwa kama punda tu. Huyu mnyama huwa napenda sana kumuona hasa akiwa mdogo, siku nikipita selous, nitaiba kimoja