Mzazi mwenye Pumu afanye nini ili kumuepusha mtoto ajaye na Pumu ya kurithi?

Mzazi mwenye Pumu afanye nini ili kumuepusha mtoto ajaye na Pumu ya kurithi?

Mwanamke mwenye Pumu afuate taratibu zipi ili kumuepusha kijacho wake na Pumu?
Mama mzazi anatakiwa atibiwe hiyo pumu akipona mtoto hatoweza kupatwa na hayo maradhi ya pumu .Ukitaka kumtibia mama mzazi wa huyo mwenye mimba maradhi ya pumu nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mgonjwa wako.
 
Ni ile Pumu ya kurithi, inatibika?
 
Mwanamke mwenye Pumu afuate taratibu zipi ili kumuepusha kijacho wake na Pumu?

Kuna mambo mengi ya kuzingatia kwa mzazi wa aina hii:

1: Kama hajaolewa au kupata mwenza: ni vyema kuwa na hali ya kuepuka kupata mwenza mwenye tatizo kama lake. Kwani akimpata mwenza wa aina hiyo, basi uwezekano wa kupata mtoto mwenye pumu kali zaidi unakuwa mkubwa. Kibaiolojia.

2: Anapokuwa mjamzito, ajiepushe na vitu vinavyoweza kumfanya apate mtoto njiti, kwani watoto njiti wana nafasi kubwa ya kuwa na pumu au mzio. Hivyo:
A: Ajiepushe na kuvuta sigara
B: Ajiepushe na matumizi ya pombe
C: Ajitahisi kupata mlo kamili kwa muda wote
D: Ajiepushe na stress nk.

3: Mtoto atakapozaliwa ajiepushe:
A: Kumpa maziwa ya wanyama chini ya umri wa mwaka mmoja
B: Anyonyeshe maziwa ya mama tu kwa miezi sita.
C: Amwepushe mtoto na matumizi ya vyakula vyenye rangi zisizo za asili.
D: Amwepushe na matumizi ya vitu vyenye harufu kali (mafuta ya kupaka vs sabuni).
E: Mwepushe na matumizi ya karanga, blueband, unga wa mbegu za maboga.
F: Epuka matumizi ya feni na air condition.
 
Back
Top Bottom