Mzazi mwenzangu amegundua nina mahusiano mengine nje ,nifanye nini ili anisamehe turudi kama mwanzo?

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
598
Reaction score
576
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana started to date someone well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi tukajikuta tupo very close habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.

Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake
mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.

Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani the other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

Kumbe mupesa umekuzuzua umegawa mupenzi....? ngojeya risasi..
 
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

kama cjaelewa hyo last line yule jamaa
mtaendelea kwa siri na wAkat huo unahtaj msamaha wa mume!! u cant be serius!!
 
Mm mdada unapenda duduzee? Ulishindwa nini kukituliza nyumbani?
 
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

kama cjaelewa hyo last line yule jamaa
mtaendelea kwa siri na wAkat huo unahtaj msamaha wa mume!! u cant be serius!!

hahahaaaaaaa leo nacheka wallahi........

chezea wadada wa mujini.pesa anataka na penzi la the other man analihitaji.......hureeeee
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

Cooked story!!
Hata hivyo mi nasema upigwe chini tu' au atafute bastora afanye maamuzi magum!!
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.

Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

Mtose kwanza huyo kimeo wako ili upate msamaha.
 
hahahaaaaaaa leo nacheka wallahi........

chezea wadada wa mujini.pesa anataka na penzi la the other man analihitaji.......hureeeee

subir sasa mume akamwage mboga kule kazin ndio atajijua kama ana hela au ilikua hela ya ma geology!!
 
Huyu bwana ni Mushi ila nadhani kazaliwa Idodi ndiyo maana unamchezea akili...ngoja Dec akitoka kupata mbege uone moto wake!
 
Hivi ufumaniwe kiukweli ukweli upate muda na guts za kuja ku-post hapa? Unajua maana ya kufumaniwa weye au unauliza itakuwaje endapo ukifumaniwa?! JF siku hizi imekosa mada za kujadili, upuuzi mtupu huu!
 
Back
Top Bottom