Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
nenda dukani kanunue hii
kisha hakikisha pia una mlinzi kama huyu

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtose kwanza huyo kimeo wako ili upate msamaha.
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
am in deep shit

Hahaha huoni hata aibu kuomba ushauri?Kweli wanawake mkipata hela tabu kweli,yaani unaomba ushauri huku ukiwa na plan za kuendelea kutafunwa na hawara yako?
I know...........
umemuumiza mudiplomat sana....
ok i will?
anasema nimemdhalilisha sana.
Andika wosia. utafumuliwa ubongo soon.
hahahaaaaaaaaaaaa nicheke kwa sauti kubwa heaven mie
ni Mudiplomat ndio kakufumania!!!!!!!!!!!
hahahaaa unaweza kupewa mupesa mingi halafu ukawa hukunwi kunakotakiwa........
sa katafuta mukaka wa kumukuna