Mzazi mwenzangu amegundua nina mahusiano mengine nje ,nifanye nini ili anisamehe turudi kama mwanzo?

bora amekugundua ili uachane na mme wa mtu.
maombi ya mkewe yameanza kusikilizwa.
nyie wanaume ndio muone jinsi small house zenu zinavyotuletea virusi.
 
nimehangaika mda huu ndo kapokea simu.
Anasema we umeshampata mwingine tena anadai jamaa anajisifia sijiwezi kwake siwezi kumuacha.
Nimemuambia baba watoto hao wanaokuambia maneno ni waongo.
atarudi tu huyu. endelea kumbembeleza tu.
 
kweli we ni sikio la kufa na sasa hivi ni grumeti tu hamna tena miguu ya kuku!
halafu unaomba ushauri gani huku unatuambia utaendelea na huyo boya wako?
ni wazi kuwa alishakuchokaga ndo maana hata hajakufanya chochote au anayo plan kubwa sana ya kukupa nauli kwenda mbele za haki!
 

This is digital world! Ndio mapenzi hayo!
 
Mumeo ni mstaarabu sana. Kwani wewe unanuye. Gekiasigani Hadi ukaamua kumsaliti bash wako ( sio mumeo cause asinge vumilia) angemvalisha kijana shanga akamshika utosi. Acha umbulula wewe uwe unaridhika kama hajakukuna vizuri mwambie ajijue Na atafute njia mbadala. Nanyie vibopa wapeni wakezenu shughuli inayostahili ili wasitoke nje
 
Wanawake kama ninyi ndio mnaoharibu maana ya ndoa. Nakubatiza jina la MALAYA SUGU.
 
Uyo mumeo anaonekana mstarabu ndomana akakuweka kiporo bila kukurupuka. Sasa we jiandae kwa shambulizi analoplani. Yawezekana asikujeruhi wala kukupa maneno makali ila maamuzi yake ya kimyakimya yatakuumiza maradufu. Vinginevo mrudie muumba wako akuepushe na hilo janga.
 

mme wake ajidai.
small house
 
wewe zahrawhite MWANAUME AMEKUFADHILI ALAFU UNAKIPELEKA KWA MWINGINE.
MFADHILI MBUZI.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…