Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
nimezaa naye,ananipenda
Aliyeolewa ndiye anayependwa, wewe kakwe ni sawa na kwenda GYM kwa ajli ya afya na kuondoa stress
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimezaa naye,ananipenda
Geologist na mangereza hayo? Unaaibisha fani kwa kweli, watake radhi.
Bora hajakutembeza mtaani naked.
Hiyo sio suluhisho bali tafuta wa kwako acha wizi wa mali za watu.huelewi?anasafiri sana.
Upweke ntafanya kwa siri mda huu namuwacha mpaka mambo yatulie
yeye ana mke wake.
Tumezaa tu ila ni kila kitu kwangu.
Sitaki kumpoteza
bora amekugundua ili uachane na mme wa mtu.
maombi ya mkewe yameanza kusikilizwa.
nyie wanaume ndio muone jinsi small house zenu zinavyotuletea virusi.
kwanini umecheat?
yeye anewah kufanya hivyo?
wanawake hatutakiw kuwa chanzo;inatakiwa aanze wewe unamaliza
I think you do. It's that mischief trait in you....
Miss u too..sisi hapana kufumaniwa...yaani kiroho safey Heaven on Earth
atarudi tu huyu. endelea kumbembeleza tu.nimehangaika mda huu ndo kapokea simu.
Anasema we umeshampata mwingine tena anadai jamaa anajisifia sijiwezi kwake siwezi kumuacha.
Nimemuambia baba watoto hao wanaokuambia maneno ni waongo.
Hujui ufanyaje?Salama yako upo mbali sikuoni...ningekunasua vibao ili akili zikukae sawasawa :frusty::frusty::frusty:nifanyeje?
kweli we ni sikio la kufa na sasa hivi ni grumeti tu hamna tena miguu ya kuku!Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.

Uyo mumeo anaonekana mstarabu ndomana akakuweka kiporo bila kukurupuka. Sasa we jiandae kwa shambulizi analoplani. Yawezekana asikujeruhi wala kukupa maneno makali ila maamuzi yake ya kimyakimya yatakuumiza maradufu. Vinginevo mrudie muumba wako akuepushe na hilo janga.
Wanawake kama ninyi ndio mnaoharibu maana ya ndoa. Nakubatiza jina la MALAYA SUGU.