Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ndo ivyo unasemaje????
Niku pm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivyo unasemaje????
Ndo ivyo unasemaje????
Hahaha huoni hata aibu kuomba ushauri?Kweli wanawake mkipata hela tabu kweli,yaani unaomba ushauri huku ukiwa na plan za kuendelea kutafunwa na hawara yako?
hahahaaa unaweza kupewa mupesa mingi halafu ukawa hukunwi kunakotakiwa........
sa katafuta mukaka wa kumukuna
Nimekuombea kwa Mungu akuepushe na adhabu ambayo mpaka sasa huijui na bado una kiburi cha kuendelea na huyo mwanaume wako hata baada ya kumuendea kinyume mume wako.
Ushauri wangu ni kuwa kwa kuwa unadhani kuwa huyo mwanaume wako wa pembeni anakupenda sana basi yafaa ukubaliane na talaka na ukaishi nae huyo umpendae,haiwezekani uombe msamaha kwa mumeo huku yupo mtu mwingine ambaye anakupa furaha ya maisha yako ila jua tu kuwa malipo ni hapa hapa duniani.
Mwanaume mwenzangu nakupa pole kwa madhira unayopitia sasa.
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

Kaizer nimekumisshalafu aendelee naye sio....:shocked:
4.
Kampuni ya ulinzi anayo pia
Wala hauko in deep shit ila umejipeleka mwenyewe na umeyataka mwenyewe
Amen dada yangu.
Naona siku hizi bastola zinafanya kazi.
Kuna thread moja huko kigoma sijui singida jamaa baada ya kuachwa yeye kajipiga risasi ya bega. Nimecheka kama nini . Nikajiuliza huyu ina maana hajui kichwa chake kilipo
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
nahisi harufu ya U4444